kuchubera huku hamna!Dhahabu unajua inachimbwaje?
Mikwara ya vijiweni wakati anavunja sheria,na anahamasiha watu kuvunja sheria.Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.
Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?
Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.
Maendeleo hayana vyama!
Nisubiri nini?!Subiri
Kama ni kweli, huyu Trippi ni mshen.zy
Mitaa gani? Msalala nzima wanamgombea wa udiwani Kakola. Segese yote Ccm tu. Mnadanganya anapoteza pesa na muda.Kama akishinda halafu asitangazwe wewe ghadhabu zilizoko mitaani huzioni?
Jamaa yenu aliyekatwa sikio Moshi amepona?Mikwara ya vijiweni wakati anavunja sheria,na anahamasiha watu kuvunja sheria.
Hajamtisha mtu ila ukitaka kujua alicho maanisha basi jua amemaanisha alichikiongea.Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.
Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?
Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.
Maendeleo hayana vyama!
Njoo porini wanaume tukufundishe,unaenda mizamo kama kumi,alafu unaupata mkanda. Baada ya hapo ni kuponchi tu.Dhahabu unajua inachimbwaje?
Kwani amesema patachimbika tu fron no where ? Halafu ni kwa nini tubembeleze wizi na wezi ? Hivi ukiniibia hata mimi unadhani sitakugawana . . ?Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.
Ahaaaa,siasa za kiafrika mbaya sana.Jamaa yenu aliyekatwa sikio Moshi amepona?
Kumbe hukumuelewa?Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.
Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?
Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.
Maendeleo hayana vyama!
Subiri asitangazwe uone. Kaa mkao wa kukaHii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.
Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?
Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.
Maendeleo hayana vyama!
Sijamuelewa bwashee!Kumbe hukumuelewa?
Kwani hizo kura hazihesabiwi waziwazi kama ccm walivokuwa wanahesabu kura za wagombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ccm pale White House Dodoma?Atajuaje?
Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.
Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?
Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.
Maendeleo hayana vyama!