Kauli ya Tundu Lissu kwamba kama akishinda asipotangazwa mshindi " Patachimbika", anamtisha nani na anamaanisha nini?

Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.

Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?

Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.

Maendeleo hayana vyama!
Mikwara ya vijiweni wakati anavunja sheria,na anahamasiha watu kuvunja sheria.
 
Mkwara tu atafanya nini mbona alivuliwa ubunge na hakufanya kitu,ashinde? Hiiiiiiiiii subili tarehe 28 uone aibu atakayo ipata, najua baadhi ya watu watamwaga povu ccm mbele kwa mbele.
 
CCM mmeshirikiana na Tume kukata zaidi ya madiwani 1000 na wabunge zaidi ya 40+

Kama mnaweza kufanya haya bila aibu je mtashindwa kuiba kura?

Dawa ya mwezi huwa ni moja tu!!

Lissu upo sahihi.
 
Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.

Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?

Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.

Maendeleo hayana vyama!
Hajamtisha mtu ila ukitaka kujua alicho maanisha basi jua amemaanisha alichikiongea.
 
Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.
Kwani amesema patachimbika tu fron no where ? Halafu ni kwa nini tubembeleze wizi na wezi ? Hivi ukiniibia hata mimi unadhani sitakugawana . . ?
 
Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.

Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?

Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.

Maendeleo hayana vyama!
Kumbe hukumuelewa?
 
Patachimbika halafu anazamishwa yeye, alituambia kwamba safari hii wabunge wake wakienguliwa wataingia barabarani time imewaengua ameufyata.

Alituambia time isipomuondoa Magufuli kwenye orodha ya Magufuli wataingia barabarani time haijafanya hivyo .

Huyo jamaa yuko vizu kwenye porojo kwa taarifa yako baada ya tarehe 28/10/2020 atakuwa mdogo kama phenbebito Kama siyo pilitoni.
 
Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.

Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?

Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.

Maendeleo hayana vyama!
Subiri asitangazwe uone. Kaa mkao wa kuka
 
Back
Top Bottom