The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Africans tunaswagwa Tu kama ng'ombe hatujui tunaelekea wapi. Ila anatuswaga ndo anajua anakotupeleka.
Hoja ya msingi hivi ni kweli nguvu za kiume ndo tatizo kubwa kwa vijana wa kitanzania. Mkuu wa Nchi unaamka unauambia ulimwengu vijana wangu Wana upungufu wa nguvu za kiume kwamba nalo ni tatizo la kuangaliwa, Kwa hiyo ngono ndo imetawala mawazo ya waafrika
Hii kauli inatakiwa kutolewa na mtu mdogo Sana labda Naibu Waziri wa Afya au Waziri wa Michezo.
Unapoongelea Lishe mkuu wa nchi unatakiwa uangalie je vijana wako wanapata lishe ya kutosha. Ukizingatia na mfumuko huu wa bei je watoto na vijana wanapata Milo kamili.
Pengine ungeongelea hata kudhibiti mfumuko wa bei wa vyakula japo watu wapate kula na kushiba.
Tatizo la vijana siyo nguvu za kiume lakini ni stress. Kukata Tamaa, kukosa ajira, Maisha magumu, mishahara midogo mwisho wa siku wanakuwa na uraibu wa ngono. Ulevi na kubeti.
Nakwambia Kauli yako imefedhehesha sana watu wanaojielewa.