Anaposema wafanye utafiti wa vumbi la Congo maana yeye hajui sababu kama mkuu wa nchi.
Mkuu wa Nchi ana mambo mengi Sana ya msingi kuongelea kuhusu lishe. Siyo vumbi la Congo. Unajua lishe duni ndo hudumaza hata ukuaji akili na wa watoto siyo kupunguza nguvu za kiume pekee.
Tulitarajia rais ku-address swala la usalama wa chakula na lishe critically with vivid data na mikakati ya serikali kukabiliana na upungufu wa chakula na lishe hasa kwa watoto na vijana wanaokua, yeye anaishia kuchomeka mizaha ya vumbi la mkongo, this is so serious!