Kauli ya vumbi la Congo kutoka kwa Mkuu wa Nchi inafikirisha sana

Tulitarajia rais ku-address swala la usalama wa chakula na lishe critically with vivid data na mikakati ya serikali kukabiliana na upungufu wa chakula na lishe hasa kwa watoto na vijana wanaokua, yeye anaishia kuchomeka mizaha ya vumbi la mkongo, this is so serious!​
 
Ulikuwa ni mzaha kweli kweli.

Mbona hajaongelea energy drinks. Atakuwa kaogopa biashara za washirika wake zitadorora lakini vijana hawali wanashindia hizi energy drinks.

Ulikuwa ni mzaha kwenye jambo nyeti. Mkuu wa Nchi vision ni zero.
 
Kiukweli hata mimi sijapendezwa mkuu wa nchi kuongea vitu simpo hivi.Kwani waziri mwenye dhamana yupo wapi?
 
Amekutana na kijana yupi akathibitisha kwamba ni kweli hatuna nguvu za kiume?

mambo mengine sio ya kutamka, lazima utende kabisa uuone ukweli!
Rais ana vyombo vingi vya kumpa taarifa...Kama vijana nguvu za kiume hawana,mustakabali wa taifa unakuwa wapi!?...unaona no dogo watu wanaotakiwa kuzaa kushindwa kuzaa,unafikiri sawasawa!?
 
Ulitaka aongee kakunja sura,akifoka na kulia
 
Inafikirisha kwei;
kuwa Mkuu wa nchi anajua kila kitu kinacho endelea kwenye jamii yake, liwe jambo kubwa au dogo yuko conversant na kila kitu.
huyo ni kiongozi kweli wa jamii yake.
anayajua mambo hadi ambayo usingetarijia kuwa anayajua....huyo ndiye kiongozi.

Big up kwake.
 
Ulitaka aongee kakunja sura,akifoka na kulia
Kwa hiyo wewe na rais mmeona tatizo lililopo ni nguvu za kume na siyo lishe duni inayoathiri ukuaji wa watoto na vijana na kusababisha udumavu wa kimwili na kiakili, siyo? Unaweza kuleta takwimu hapa kuonyesha uwezo wa watu kuzaliana umepungua kutokana na kukosekana nguvu za kiume na hivyo kuathiri idadi ya watu na nguvu kazi ya taifa?​
 
Wewe na rais nani ana takwimu!?..mpaka kitengo Cha kushughulikia nguvu za kiume kuanzishwa muhimbili bdo unaamini hakuna tatizo!?..hao wanaomudu lishe Bora hawana tatizo la nguvu za kiume!?
 
Wewe na rais nani ana takwimu!?..mpaka kitengo Cha kushughulikia nguvu za kiume kuanzishwa muhimbili bdo unaamini hakuna tatizo!?..hao wanaomudu lishe Bora hawana tatizo la nguvu za kiume!?
Kwa hiyo tatizo la msingi udumavu unaosababishwa na lishe duni, au ni nguvu za kiume?
 
Kulikuwa na mambo ya msingi sana ya kuzungumza kuhusu lishe na afya zetu na sio hilo la kuridhisha tu kingono sidhani kama alipaswa kuliongea, kaongea hadi mambo ya kujaza vifua yani kaacha kuongeza ukubwa wa uume tu.
 
Ni hivi, wanawake ambao umuri umetaradadi mara nyingi hawapendi vikongwe wenzao, hupenda V mikumi kama sio v serengeti (damu changa).
Hapa ndipo tatizo huibuka, sex ni hisia, hawa misingi viuno town silaha yao kubwa ni vumbi la zaire, kwakuwa hawaccmshwi na viajuza vyenye mkunja ni lazima mkaratusi (vumbi) litumike ili last longer iwepo.
Hapo ndipo kauli vijana hawana nguvu za wanaume huzaliwa.
 
 
Tatizo la vijana siyo nguvu za kiume lakini ni stress. Kukata Tamaa, kukosa ajira, Maisha magumu, mishahara midogo mwisho wa siku wanakuwa na uraibu wa ngono. Ulevi na kubeti
 
Kwaiyo unataka serikali imsaidie mtu asikate tamaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…