Kwan mnakua bado mnawasiliana ili iweje mkuu 😂Dawa yake unamtumia picha ya pisi kali kuliko yeye
Ndani ya wiki
Kwani unawasiliana nae au unamtumia picha tu kumpa heart attackKwan mnakua bado mnawasiliana ili iweje mkuu 😂
Kuwa makini hiyo heart attack isije ikakurudia wewe baada ya kukutumia picha akiwa na baba ako! 😂😂Kwani unawasiliana nae au unamtumia picha tu kumpa heart attack
Sijui wanafikiria nini daahAhahahah..hiyo heading imenichekesha.
But in my lige sijawah kujiona boooora kwa mtu kiasi kwamba eti asipate replacement yangu, wapo wengi tu .
Pia sijawah ruhusu mtu ajione booora sana akwangu kiasi cha kunifanya nijione siwez pata mwingine kama au zaidi ya yeye. Ulimwengu huu una watu over 7 billion.
Kwaio wanatulaani au vp?Kauli hiyo inatolewa sana kutoka kwa mwanamke innocent kwenda kwa mwanaume kiwembe...yaan mwanamke anafikiria kwa namna alivyojishusha na kubehave positively kwa huyo mwanaume analinganisha na wanawake tulivyo masikio jujuu kipindi hiki....anaona,ooh,huyu mwamba hatoboi... lazima atakuja lea watoto si wake.
Hajakulaani,kawaza tu mkuu...Kwaio wanatulaani au vp?