Kauli ya wadada "Hutokuja kupata mwanamke kama mimi we mwanaume wewe

Ahahahah..hiyo heading imenichekesha.
But in my lige sijawah kujiona boooora kwa mtu kiasi kwamba eti asipate replacement yangu, wapo wengi tu .
Pia sijawah ruhusu mtu ajione booora sana akwangu kiasi cha kunifanya nijione siwez pata mwingine kama au zaidi ya yeye. Ulimwengu huu una watu over 7 billion.
 
Kauli hiyo inatolewa sana kutoka kwa mwanamke innocent kwenda kwa mwanaume kiwembe...yaan mwanamke anafikiria kwa namna alivyojishusha na kubehave positively kwa huyo mwanaume analinganisha na wanawake tulivyo masikio jujuu kipindi hiki....anaona,ooh,huyu mwamba hatoboi... lazima atakuja lea watoto si wake.
 
Sijui wanafikiria nini daah
 
Kwaio wanatulaani au vp?
 
Sikumbuki kumwambia mtu upuuzi km huo, last time nilifuta namba zake aliponicheck baada ya siku tatu nikauliza nani mwenzangu?? Akamind nikamkatia simu.

Mimi tukikaa zaidi ya siku 3 bila hi ndo tayari ushakuwa expired, exit, example, extra na ex zingine zote..!! 😹😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…