Kauli ya wadada "Hutokuja kupata mwanamke kama mimi we mwanaume wewe

Sasa ni jukumu la nani kutoa hio hi!?
Ina maana huyo mwanaume asipoanza kukupa wewe hi akakaa siku 3 kimya ndipo unamuacha? au sijaelewa?
 
Lbd km anakibamia😁
 
Sema mkuu ilikuaje??
Niliambiwa na huu ubahili wa kumhonga nilio nao sintokaa nimpate wa kufanana naye, yeye alikuwa mweusi afu wakati ananilaani nilikuwa busy nahangaika na bonge la dada jeupe na MUNGU akaamua laana yake iwe dua la kuku kwa mwewe.
 
🤔🤔🤔🤔
 
Kuna watu huwa wanajiona wamenyooka sana, na hapo unakuta mtu alikukosea sana mpaka ikapelelea kuachana alafu anakuja na kauli hizo.
 
Wadada hizo kauli zenu utafikiri dunia nzima kuna mwanamke mmoja 🤣🤣🤣🤣 au ndo hua mnatulaani tusipate mwingine

Eti wadada mnamaanishaga nini?
Women are always think that, they are the prize in the relationship and men are lucky to have them.
 
Dawa yake unamtumia picha ya pisi kali kuliko yeye
Ndani ya wiki
Baada ya break-up kisasi cha mwanaume ni ku-upgrade maisha yako. Trust me, mkiachana mwanamke atakufatilia maisha yako kujua kama alikosea au alikua sahihi kuachana na wewe.

Usishandane na mwanamke kwenye sekta ya kubadilisha partner. Kumbuka yeye ana access rahisi ya kupata sex. Wewe ni lazima uwe na hela na utaingia gharama. Mwenzako uwepo wake tu unatosha anachohitaji ni kuwa hai tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…