Kauli ya Warioba kuwa Iddi Amin aliua Watanzania wachache kuliko serikali ya Samia; Jeshi lijitazame sana

Kauli ya Warioba kuwa Iddi Amin aliua Watanzania wachache kuliko serikali ya Samia; Jeshi lijitazame sana

it always start as small problem, kuna haja ya kujiuliza kama wazee hawa hawakuona hatari ya mifumo waliyo tengeneza? au wanachotafuta ni kipi hasa?
wao pia walifanya the same wakati ya operation ya vijii vya ujamaa.

View attachment 3520094
Acha ujinga na uchawa.Hapa yanazungumziwa mauaji ya raia wa JMT kwa kutumia vyombo vya Dola kwa risasi za moto "Extra judicial killings".
 
Hapa tumepata kwa urahisi kabisa iladi ya waliouwawa kwenye vita dhidi ya nduli idd amini.
Wakati na baada ya uchaguzi October 29,2025 waliouwawa wangapi? Serikali na vyombo vya ulinzi vitoe idadi tuondoke kwenye hapo. Vinginevyo kila mmoja atatoa idadi yake na itakubalika.
Hamna kuondoka kwenye October 29, mpaka muuaji (Rais) awajibishwe.
 
naona madini yalokujaa kifuani, ahsante
Acha kuleta hoja za kijinga kupotosha uhalisia, mmeua maelfu ya watu wajibikeni kwanza then hizo operations zako za ujamaa tutadiscuss. First, Serikali Haramu inabidi iwajibishwe kwa mauaji ya halaiki then mengine yatafuatia full stop.
 
hoja yangu hahipotoshi chochote, hao Wazee ndio wasanifu wa yote haya, hawakuwajibika wakati wa nyuma, hawatawajibika sasa! Msingi wa kukusekana uwajibikaji ni uleule na Warioba na moja ya waasisi wa msingi huo.

Tujikite ktk kiini cha tatizo, na kutafuta suluhu ya kuendesha siasa na nchi objectively.
 
Kabla ya kuanza kuendesha siasa za nchi objectively wawajibishwe wote waliohusika na mauaji ya watanganyika kwanza Tarehe 29 October. Hatuwezi kujenga nchi wakati wauaji wa JMT wamekalia nafasi nyeti za nchi huo ni utahira.
 
Kabla ya kuanza kuendesha siasa za nchi objectively wawajibishwe wote waliohusika na mauaji ya watanganyika kwanza Tarehe 29 October. Hatuwezi kujenga nchi wakati wauaji wa JMT wamekalia nafasi nyeti za nchi huo ni utah

Maoni yake, walisema pia December 9 serikali itaua hata kama huta andamana.

Watu hawaungi mkono mipango yao ya fujo na kuvuruga amani (order and law). Ama haki watu wanazitaka kwa njia za amani.
 
Back
Top Bottom