Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
- Thread starter
-
- #41
Acha ujinga na uchawa.Hapa yanazungumziwa mauaji ya raia wa JMT kwa kutumia vyombo vya Dola kwa risasi za moto "Extra judicial killings".it always start as small problem, kuna haja ya kujiuliza kama wazee hawa hawakuona hatari ya mifumo waliyo tengeneza? au wanachotafuta ni kipi hasa?
wao pia walifanya the same wakati ya operation ya vijii vya ujamaa.
View attachment 3520094
Hamna kuondoka kwenye October 29, mpaka muuaji (Rais) awajibishwe.Hapa tumepata kwa urahisi kabisa iladi ya waliouwawa kwenye vita dhidi ya nduli idd amini.
Wakati na baada ya uchaguzi October 29,2025 waliouwawa wangapi? Serikali na vyombo vya ulinzi vitoe idadi tuondoke kwenye hapo. Vinginevyo kila mmoja atatoa idadi yake na itakubalika.
soma kabla ya kujibu.Acha ujinga na uchawa.Hapa yanazungumziwa mauaji ya raia wa JMT kwa kutumia vyombo vya Dola kwa risasi za moto "Extra judicial killings".
Kawa brainwash wajinga wenzakosoma kabla ya kujibu.
naona madini yalokujaa kifuani, ahsanteKawa brainwash wajinga wenzako
Acha kuleta hoja za kijinga kupotosha uhalisia, mmeua maelfu ya watu wajibikeni kwanza then hizo operations zako za ujamaa tutadiscuss. First, Serikali Haramu inabidi iwajibishwe kwa mauaji ya halaiki then mengine yatafuatia full stop.naona madini yalokujaa kifuani, ahsante
hoja yangu hahipotoshi chochote, hao Wazee ndio wasanifu wa yote haya, hawakuwajibika wakati wa nyuma, hawatawajibika sasa! Msingi wa kukusekana uwajibikaji ni uleule na Warioba na moja ya waasisi wa msingi huo.Acha kuleta hoja za kijinga kupotosha uhalisia, mmeua maelfu ya watu wajibikeni kwanza then hizo operations zako za ujamaa tutadiscuss. First, Serikali Haramu inabidi iwajibishwe kwa mauaji ya halaiki then mengine yatafuatia full stop.
Kabla ya kuanza kuendesha siasa za nchi objectively wawajibishwe wote waliohusika na mauaji ya watanganyika kwanza Tarehe 29 October. Hatuwezi kujenga nchi wakati wauaji wa JMT wamekalia nafasi nyeti za nchi huo ni utahira.hoja yangu hahipotoshi chochote, hao Wazee ndio wasanifu wa yote haya, hawakuwajibika wakati wa nyuma, hawatawajibika sasa! Msingi wa kukusekana uwajibikaji ni uleule na Warioba na moja ya waasisi wa msingi huo.
Tujikite ktk kiini cha tatizo, na kutafuta suluhu ya kuendesha siasa na nchi objectively.
Warioba kaongea Kwa uwazi tena ni mtu mwenye kuaminika wewe umejificha kwenye ID fake je tumuamini nani?Warioba kapata wapi takwimu hizo?
Hata wendawazimu huongea kwa uwazi, suala ni kapata wapi hizo takwimuWarioba kaongea Kwa uwazi tena ni mtu mwenye kuaminika wewe umejificha kwenye ID fake je tumuamini nani?
Kabla ya kuanza kuendesha siasa za nchi objectively wawajibishwe wote waliohusika na mauaji ya watanganyika kwanza Tarehe 29 October. Hatuwezi kujenga nchi wakati wauaji wa JMT wamekalia nafasi nyeti za nchi huo ni utah
Maoni yake, walisema pia December 9 serikali itaua hata kama huta andamana.
Mtu ameshika mavyeo makubwa yote serikalini unauliza kapata wapi takwimu jinga kabisa wewe.Hata wendawazimu huongea kwa uwazi, suala ni kapata wapi hizo takwimu
Serikali lini ilitoa hizo takwimu?Mtu ameshika mavyeo makubwa yote serikalini unauliza kapata wapi takwimu jinga kabisa wewe.
Mnoo lo
Inasikitisha sanaKiukweli Tanzania Inapitia wakati mgumu sana kisa Watu wachache wenye Choyo na Umimi