Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani Barakoa ni ''medical device'' kwahiyo wanaohusika nayo ni TMDA.
Eneo la TBS weka TMDA, and you are very right in your entire argument.
Siasa inapovuka mipaka ndio tunafikia hatua hizi...
Kuna utata kidogo kwenye maneno yanayi semwa na baadhi ya viongozi, eti wananchi vaeni barakoa lakini lazima mjiridhishe zimetoka wapi na usalama wake...
Ni propaganda za kipuuzi tu za viongozi wa hovyohovyo wa awamu ya tano.
Ukienda pale TBS ubungo au pale TMDA river side, utakuta wafanyakazi wamevaa barakoa hizo za kutoka nje.
Hata hao viongozi wa hovyohovyo kwenye maofisi yao wafanyakazi wanavaa hizo za kutoka nje.
Lakini wakiwa majukwaani ni kama kuna pepo la mauaji limewaingia.
Piere NkurunzinzaKinachonishangaza kwa huyu mzee Magufuli ni kwa nini yeye hapatwi na haya maradhi licha ya kuwa mkaidi toka ugonjwa huu upige hodi hapa nchini...
Alidungwa chanjo toka China kwenye msafara wa china Chato.we endelea kutembea kifua mbele tza hakuna coronaKinachonishangaza kwa huyu mzee Magufuli ni kwa nini yeye hapatwi na haya maradhi licha ya kuwa mkaidi toka ugonjwa huu upige hodi hapa nchini..
Kwani uongo?Wanataka kupotosha kuwa barakoa toka nje ndio zimeleta corona hii second wave. Nadhani hawakukumbuka kuwa kwenye huo upotoshaji wao wanaotaka kuufanya, TBS wana wajibu huo. Haya ndio mambo yanayozidi kuchochea upatikanaji wa katiba mpya, kwani inaonekana kabisa mtu mmoja anapokuwa na maamuzi yote ya nchi nini kinaweza kutokea.
Sasa wafanyabiashara waloingiza hizo barakoa watakuwa wageni wa nani maana nani atazinunua wakati wao wameshalipia ushuru wa forodha n.k
Au barakoa hazinaga kodi ya ushuru wa forodha kwa kuwa ni medical tools?