Kauli za LATRA kuhusu namba za magari, kuelekea 17 Machi zimelenga kumhujumu Mama?

1. Mkuu lisenwalo lipo kama halipo laja.

2. Kimsingi yapo mawili yanayoongelewa nao hawajakanusha:

a) kuuingia city center liwe DZA kwenda mbele.
b) kuingia Mwenge Stendi, kwa mujibu wa mheshimiwa Leak (bila shaka mwenzao huyo) ni DTX kwa kwenda mbele.

3. Angalia nukuu hizi:

a) Daladala rasmi kurudi upya katikati ya Jiji la Dar-es-salaam mara baada ya mradi wa mwendokasi kushindwa kutoa huduma ipasavyo

View attachment 2935205

b) View attachment 2935207

Siyo Bure!
Hahaha kwahio nikienda kuchukua ngarangara langu hapo zanziberi nikalisajili kwa usajili mupyaaaaàa linakua poa kabisa, nimeelewa vyema point yako
 
GARI NI MATUNZO TU, NUMBER SI LOLOTE, MUHUMU UZIMA WA GARI HUSIKA, YAPO MAGARI NI NAMBARI E LAKINI YAMESHACHOKA KABISA,
-ZOEZI LA HOVYO KUPATA KUTOKEA, LATRA IMESHAINGIA KWENYE BUSINESS POLITICS, IVUNJWE MARA MOJA.
 
Bila kukomaa na watu kama hawa sasa yakitukuta na magari binafsi itabidi kutulia kila mtu kivyake vyake:

1. Design za kina Leak ni wenzao, baba mmoja mama mmoja.

2. Kina saigilomagema hawa ni seasoned chawa pro max wa mama anaowakana labda kinafiki kila leo, ila sasa wafanye lipi?

3. KIna BLACK MOVEMENT hawa ni wasiojitambua wakiamini tunapaswa kukubali tu eti kuwa labda hizo ndiyo sheria zao hao kina LATRA mawakala wa wauza magari.

Bure kabisa!
 
Hahaha kwahio nikienda kuchukua ngarangara langu hapo zanziberi nikalisajili kwa usajili mupyaaaaàa linakua poa kabisa, nimeelewa vyema point yako
Kwamba aliyenunua gari jipya brand new Zero km, likasajiliwa DXS lisionekane Mwenge isipokuwa FFF mtumba lililotembea 2,000,000km Japan.

Hii ni akili au matope?
 
GARI NI MATUNZO TU, NUMBER SI LOLOTE, MUHUMU UZIMA WA GARI HUSIKA, YAPO MAGARI NI NAMBARI E LAKINI YAMESHACHOKA KABISA,
-ZOEZI LA HOVYO KUPATA KUTOKEA, LATRA IMESHAINGIA KWENYE BUSINESS POLITICS, IVUNJWE MARA MOJA.

Wanaosema hao ndiyo wamekasimiwa sekta ya usafirishaji Ili ikapate kukua.

Watu wakisema nchi inatembea autopilot tutakuwa tumemtukana nani?
 
1. Standards kama ni za kijinga au za kibaguzi kuzikataa ni wajibu siyo siasa; labda kama wao wana agenda ya siasa kinyemela.

2. Kwamba tokea mamlaka ya ukaguzi, road worthiness gari limefuzu.

3. #2 hapo ila limekwama Kwa sababu namba siyo D au E?

4. #3 hapo, kwani zinazobeba watu ni namba au gari?

5. Mambo ya kibaguzi au kijinga si mpeleke mashambani mwenu huko.

6. Ngoja tuone; Mama achague kusuka au kunyoa; Ubabaishaji kama huu Kwa dhamana yetu haukubaliki!
Mkuu nunua Nyingine usajili namba E ukafanye Biashara.

Mamlaka ya leseni imeshaweka kanuni, hata ukilialia haitasaidia.
 
Kila kitu ni siasa? Nchi ya kipuuzi sana hii, kama ndio sheria zao ulitakaje? ndio maana miji yetu ni michafu saba na inanuka kabisa na ukiuliza unaambiwa hao ni wanyonge waachwe. upumbavu
Kwahiyo miji inanuka kwasabb ya magari yenye namba D na E??
 
Kwa comment hii naamini kabisa wewe ni Mwana CCM. Chama chenye wanachama wanaowaza Kwa kutumia matumbo. Kwamba nchi hii kuna sheria imeandikwa na kupitishwa inazuia No.C? Tuonyeshe kifungu tutoe mabasi barabarani.
 
Mkuu nunua Nyingine usajili namba E ukafanye Biashara.

Mamlaka ya leseni imeshaweka kanuni, hata ukilialia haitasaidia.

Wale wale, wenye vipaji mbatata kama bwana mmoja kwenye uzi huu:

Kagame na Rwanda baada yake, "Kumbe vitini ni Maumivu"

nimemwandikia haya:

Bila shaka ni wale wenye vipaji cha ujinga mbatata kwenye ubora wako:

1. Tukiandika kuhusu haki za panya road huitwa "panya road."

2. Tukiandika kuhusu wanafunzi LST huitwa tuliofeli mitihani huko.

3. Tukiandika neno la pongezi kwa jambo zuri kuhusu Chadema huitwa Bavicha

4. Tukisifu jambo kafanya Zitto huitwa ACT.

5. Tukilaani udhwalimu wa Israel Gaza huitwa waislam.

6. Tukiandika kuhusu haki za watu wa jinsia moja huitwa LGBTQ.

7. Nk nk.

Kwamba hapa tumeandika habari yenye mafunzo tokea tulikoiona kwa manufaa ya wengine. Kwamba kwako kwa hivyo tu, tumekuwa watusi siyo?!

Wewe kama MK254 mtaelimika lini "mamb*rula" nyie?

Kwamba kuhusu LATRA dhidi ya haki za wengine tayari umeona ni wa dala dala?

Kwani wewe ni LATRA ndiyo umekuja sasa kuthibitisha msimamo?

Kwa hakika nisiache kukusajili katika wajinga wenzio hao:

Hivi, wewe kama wale mamburula wenzio MK254, mngony mtaelimika lini nyie?

Bure kabisa!
 
Kwahiyo miji inanuka kwasabb ya magari yenye namba D na E??

Tuna nchi ya ajabu sana. Usishangae ukikuta ndiyo wale walio nyuma ya maamuzi ya kijinga kama hayo. Mwingine akiwa huyu anayejiita Shujaa Mwendazake.

Kwamba maamuzi ni ya kijinga, ni vizuri wakajua wananchi tunaona.
 
Kwa comment hii naamini kabisa wewe ni Mwana CCM. Chama chenye wanachama wanaowaza Kwa kutumia matumbo. Kwamba nchi hii kuna sheria imeandikwa na kupitishwa inazuia No.C? Tuonyeshe kifungu tutoe mabasi barabarani.

Hii nchi kupiga hatua ni ngumu. Kitu haki hakijulikani Kwa jamaa wa wagagagigikoko (kina Shujaa Mwendazake). Hata wakiundiwa sheria za kuwalamba viboko kila asubuhi wataridhia tu.
 
Mwenge stend hayatakiwi magari makuukuu kwa sasa, acheni siasa
Makuu kuu yanaangaliwa kwa reg number?
- Kama ingekuwa kwa magari binafsi, siku hizi huoni LC300 zina number plate T...AAB?

Idara ya usalama barabaranu ya polisi, jukumu lake ni kuuza sticker za usalama barabarani sio?

Vipi kwa yule aliyeweza kununua zero km mwaka 2019? Kutakuwa na tofauti na aliyenunua used ya mwaka 1998 zote zikiwa na namba T...DEA?
 
Akikujibu mrejesho wako tafadhali
 
Wale wale, wenye vipaji mbatata kama bwana mmoja kwenye uzi huu:

Kagame na Rwanda baada yake, "Kumbe vitini ni Maumivu"

nimemwandikia haya:

Bila shaka ni wale wenye vipaji cha ujinga mbatata kwenye ubora wako:

1. Tukiandika kuhusu haki za panya road huitwa "panya road."

2. Tukiandika kuhusu wanafunzi LST huitwa tuliofeli mitihani huko.

3. Tukiandika neno la pongezi kwa jambo zuri kuhusu Chadema huitwa Bavicha

4. Tukisifu jambo kafanya Zitto huitwa ACT.

5. Tukilaani udhwalimu wa Israel Gaza huitwa waislam.

6. Tukiandika kuhusu haki za watu wa jinsia moja huitwa LGBTQ.

7. Nk nk.

Kwamba hapa tumeandika habari yenye mafunzo tokea tulikoiona kwa manufaa ya wengine. Kwamba kwako kwa hivyo tu, tumekuwa watusi siyo?!

Wewe kama MK254 mtaelimika lini "mamb*rula" nyie?

Kwamba kuhusu LATRA dhidi ya haki za wengine tayari umeona ni wa dala dala?

Kwani wewe ni LATRA ndiyo umekuja sasa kuthibitisha msimamo?

Kwa hakika nisiache kukusajili katika wajinga wenzio hao:

Hivi, wewe kama wale mamburula wenzio MK254, mngony mtaelimika lini nyie?

Bure kabisa!
Utaongea sana, baada ya kukushtukia.
 
Utaongea sana, baada ya kukushtukia.

Uzoefu unaonyesha kujibizana na wapumbavu ni matumizi mabaya kabisa ya muda:

IMG_20240317_031927.jpg
 
Back
Top Bottom