Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Lahaulaah laufith"Nilikua na wee kwa hisani tyuuh kwako, na sahivi hisani yangu imeishaaa"
Hapooo ndo naachwaa aani, wakati huo nimezamaaa kwake, na mapenzi ndo nayaanza. Nusu niwehukwe kuwa chizi, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Siku nakutana nae mlimani main campus, anasema "daaah mtoto unazidi kushynee tyuuh"
nkamjibu "ndyooo nimempata mtu wa kunisitiri sahivi hisani si uliondoka nayo wee" alitazama chini kwa aibuuu.
Now muda wote kunifuatiliaaa. Afu mie hata mshipa wa nyege haustuki kwake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nenda huko ,Bora ulivoniacha kauboo kenyewe kafupi kameinamia chini ,ungejua ...heheeee
Yaan hii kaul yakuw hutapata mwingine kama mimi huwa wanaongea kwa kujiamn kama vile wanaiona kesho yako😀😀😃X - “ila sawa umeniumiza sana, sitaki tujuane”
XX-“Utanikumbuka,hutapata mwanamke mwenye upendo kama mimi”
XXX-“Tusiwe na uadui, ili nikifika Daslam tusitiriane”
XXXX-“Mungu akipenda tutaonana, Tanzania”
XXXXX- Ilikuwa silent, na akahama na mji.
XXXXX- tuliachana Frankfurt airport, anaelekea OR Tambo, nakuja JNIA.
Inatosha………
ikishatokea kutoelewana hua mnasahau kwamba hakohako kakuinamia chini ikichanganya mnatamka yoooote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] manake nicheke tu
Oohoooo ,dogo hamna nyie ,lolote hutamka mbele ya bifu[emoji23][emoji23][emoji23]Jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alinichoshaa kwenye hisani hapo, utadhan mie ndo nilijitongozesha kwake, akat yeye ndo alinitongoza mie, khaaaaah.Kwakweli sijui wanatuonaje yaani
Kw kifupii hanistuiii tena, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiporo kinataka kupashwa
Hahah kwa usiniambie saivi ameanza upya kupiga Sound[emoji3][emoji3]
Na wew hukumbuki chchot kuhusu yeye
Hata anastuaa sasa? Yaan kwake nipo wa baridiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpelekee ajue anachomiss[emoji23]
Haya wahi madrasaaa, usisahau Juzuuu.Lahaulaah laufith
Itakuwa kuna mahali pameongezeka sa Roho inamuuma😀😀Kw kifupii hanistuiii tena, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anavojishobokesha kwangu sasa, nabaki kusemaaa hisanii imekuaje tenaa. Lol
Kama n kichwa mrudie😃😀Mi niliambiwa sijui uliniroga wewe mwanaume mimi na wewe ni mbingu na ardhi .Demu kichwa sana yule tatizo maujeuri na kiburi.
😄😄😄Kama n kichwa mrudie😃😀