Kauli za Ma Ex

Kauli za Ma Ex

"Nilikua na wee kwa hisani tyuuh kwako, na sahivi hisani yangu imeishaaa"

Hapooo ndo naachwaa aani, wakati huo nimezamaaa kwake, na mapenzi ndo nayaanza. Nusu niwehukwe kuwa chizi, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Siku nakutana nae mlimani main campus, anasema "daaah mtoto unazidi kushynee tyuuh"

nkamjibu "ndyooo nimempata mtu wa kunisitiri sahivi hisani si uliondoka nayo wee" alitazama chini kwa aibuuu.

Now muda wote kunifuatiliaaa. Afu mie hata mshipa wa nyege haustuki kwake.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpelekee ajue anachomiss😂
 
Mimi Kuna kipindi nilichimbiwa mikwara Hadi nikatoa macho wee, imagine aliniambia eti aliniambukiza ngwengwe kwa hiyo nijiandae tu kufa.

Mwanzoni niliichukulia hiyo kauli Kama utani ilia kadri siku zilivyosonga nilianza kuimind hyo Sana kauli Yake.Ikanibidi niende nichukue vipimo vya HIV nikajikuta nipo sawa,baada ya miezi mingine 3 nikarudi Tena kupima nikakuta mambo Ni sawa tu😂
 
Hhahah hyo kauli huwez pata usingz lazm kila cku uote upo misiban😀😀
 
Alinambia “Capone, kamwe hutapata mwanamke anayekupenda kama mimi”
Nilimwambia aache utani wake

Mwingine aliwahi nambia siku namuomba tuachane “Wewe nenda unakotaka ila ukijisikia kurudi rudi tu”

Kweli mpaka leo naendaaa Nikiona sielewi narudi na nampa mirejesho ya huko nilikotoka, ananiona kama mwanae

Mwingine alisema “Siwezi acha kukupenda labda Nikipata uthibitisho kuwa kweli umenifanyia ubaya”

Lakini huyu hajibu texts zangu

Mwingine alinipa laana eti “Capone nakuchukia nakuchukia nakuchukia sana na sintakusamehe mpaka naingia kaburini”

Nikamwambia sweetheart wewe ni mzinzi kama mimi unatoa wapi hiyo nguvu ya kunipa laana? Ila usijichoshe hakuna kitu kitanipata

Mwingine alisema “Unaniita ili unit*mb* ya mwisho mwisho, sitaki wewe nenda tu”
Ila alikuja na alichodhania ni kweli kilitokea
Aah wengine nimesahau walisemaje nikikumbuka nitawaambia
Wew jamaa umekuwa kam yule fundi Nguo
Kweny series ya FUNDI
na hapo kun wengine umesahau misemo Yao😁😁😁
 
Bora ambao mulipewa maneno makali. wengine ni silence halafu anatupia picha kila siku akiwa na mwanamke wake bahati mbaya alikuwa ana kazi tu yakukidhi mahitaji yake. demu alimudanganya sijui nini akaacha kazi yake. leo hii ananiomba hela ya mtaji afungue biashara nimekaa silent ocean!
 
Mpe bhna simlishachanganya damu😀😀
 
Alinambia “Capone, kamwe hutapata mwanamke anayekupenda kama mimi”
Nilimwambia aache utani wake

Mwingine aliwahi nambia siku namuomba tuachane “Wewe nenda unakotaka ila ukijisikia kurudi rudi tu”

Kweli mpaka leo naendaaa Nikiona sielewi narudi na nampa mirejesho ya huko nilikotoka, ananiona kama mwanae

Mwingine alisema “Siwezi acha kukupenda labda Nikipata uthibitisho kuwa kweli umenifanyia ubaya”

Lakini huyu hajibu texts zangu

Mwingine alinipa laana eti “Capone nakuchukia nakuchukia nakuchukia sana na sintakusamehe mpaka naingia kaburini”

Nikamwambia sweetheart wewe ni mzinzi kama mimi unatoa wapi hiyo nguvu ya kunipa laana? Ila usijichoshe hakuna kitu kitanipata

Mwingine alisema “Unaniita ili unit*mb* ya mwisho mwisho, sitaki wewe nenda tu”
Ila alikuja na alichodhania ni kweli kilitokea
Aah wengine nimesahau walisemaje nikikumbuka nitawaambia
Hiyo kauli ya kwanza huwa najiuliza jeuri ya kuongea hivyo huwa wanaitoa wapi 😁😁😁
 
Back
Top Bottom