Kauli za Ma Ex

Kauli za Ma Ex

Habari ya muda huu wana JF,

Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika mahusiano pindi yanapokaribia kufikia tamati kuna kauli ambazo mpenzi wako huwa anazitoa kwako
Zinaweza kuwa nzuri au mbaya lakin naamini Asilimia 90% huwa ni mbaya

Binafsi mimi kuna kauli moja niliambiwa nikabaki naduwaa
"Najua mimi sio mzuri lakini huwezi kumpata aliye bora kunizidi mimi"

Je, wewe ulipewa kauli gani ambayo hadi leo unaikumbuka?
X namba ake ya simu, au kukaribiana nae barabarani kumpa salamu ya kazi gani?
 
Nimewahi kuambiwa..

"Niliisha kuua kitambo tu kaandae kaburi"

Tulikuwa hatujapima muda wote wa mahusiano wa mwaka mmoja. But sikuwahi kwenda nyama kwa nyama.

Ilibidi nikapime nikajikuta nipo poa sana. Ila nilipata stress aisee.
Huyo katilisana
 
Aliondoka Kwa kashfa alafu akasema nitapata tabu sana yeye ndo mwanaume wa maana na kapta mwanamke mzuri na anamprnda,Sasa my wangu sijui kakumbwa na nn sikuhiz πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚doh
Kila siku asubuhi anakuamsha amaπŸ˜„πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Back
Top Bottom