Eleminator
JF-Expert Member
- Sep 29, 2022
- 597
- 975
- Thread starter
- #61
Kiporo kinataka kupashwa😁😁😁😁😃😃 huttopata mwingine ka mimi afu lenyewe kutwa kunitafutatafuta 😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiporo kinataka kupashwa😁😁😁😁😃😃 huttopata mwingine ka mimi afu lenyewe kutwa kunitafutatafuta 😂😂😂😂
Atakuwa amechakaa Sana,alafu ndiyo kwanza wewe unang'ara Kama mtoto mchanga.😂😂Mupenzi
Hatari sana anabaki anashangaa tu 😂😂Atakuwa amechakaa Sana,alafu ndiyo kwanza wewe unang'ara Kama mtoto mchanga.
Hio dp usibadilishe tenaNasoma comments [emoji897]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangaziii bhanaaa.Aliondoka Kwa kashfa alafu akasema nitapata tabu sana yeye ndo mwanaume wa maana na kapta mwanamke mzuri na anamprnda,Sasa my wangu sijui kakumbwa na nn sikuhiz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]doh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2] huttopata mwingine ka mimi afu lenyewe kutwa kunitafutatafuta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwakweli sijui wanatuonaje yaani"Nilikua na wee kwa hisani tyuuh kwako, na sahivi hisani yangu imeishaaa"
Hapooo ndo naachwaa aani, wakati huo nimezamaaa kwake, na mapenzi ndo nayaanza. Nusu niwehukwe kuwa chizi, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Siku nakutana nae mlimani main campus, anasema "daaah mtoto unazidi kushynee tyuuh"
nkamjibu "ndyooo nimempata mtu wa kunisitiri sahivi hisani si uliondoka nayo wee" alitazama chini kwa aibuuu.
Now muda wote kunifuatiliaaa. Afu mie hata mshipa wa nyege haustuki kwake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiporo kinataka kupashwa😃😃 huttopata mwingine ka mimi afu lenyewe kutwa kunitafutatafuta 😂😂😂😂
Hahah kwa usiniambie saivi ameanza upya kupiga Sound😀😀"Nilikua na wee kwa hisani tyuuh kwako, na sahivi hisani yangu imeishaaa"
Hapooo ndo naachwaa aani, wakati huo nimezamaaa kwake, na mapenzi ndo nayaanza. Nusu niwehukwe kuwa chizi, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Siku nakutana nae mlimani main campus, anasema "daaah mtoto unazidi kushynee tyuuh"
nkamjibu "ndyooo nimempata mtu wa kunisitiri sahivi hisani si uliondoka nayo wee" alitazama chini kwa aibuuu.
Now muda wote kunifuatiliaaa. Afu mie hata mshipa wa nyege haustuki kwake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huko alipoenda hajakutakana na ndizi kisukar kwel🤣🤣😂nenda huko ,Bora ulivoniacha kauboo kenyewe kafupi kameinamia chini ,ungejua ...heheeee
Kali eeeHio dp usibadilishe tena
Inakupendeza mno,Kali eee
Haina kwere itabaki hiyo hiyoInakupendeza mno,
Afisa ukaguzi
Inanihamasisha niende extra mile 🤣Haina kwere itabaki hiyo hiyo
Lione kumbe ndio unachowaza 🤣 tulia hivyo hivyo. Haya niambie wewe Ex wako alikuambia maneno yapi wakati mnaachana?Inanihamasisha niende extra mile 🤣
Mi sijawahi kugombana na EX, hivi ukiniangalia nimekaa kugombana gombana kweli.Lione kumbe ndio unachowaza 🤣 tulia hivyo hivyo. Haya niambie wewe Ex wako alikuambia maneno yapi wakati mnaachana?
Mnaweza msigombane lkn kwenye kuachana lolote linaweza likatokea. Anaweza hata akakuambia maneno mazuri hayo hayo ndio uniambie. Au huwa mnaachana kibubu bubu😂Mi sijawahi kugombana na EX, hivi ukiniangalia nimekaa kugombana gombana kweli.
Alinambia “Capone, kamwe hutapata mwanamke anayekupenda kama mimi”Habari ya muda huu wana JF,
Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika mahusiano pindi yanapokaribia kufikia tamati kuna kauli ambazo mpenzi wako huwa anazitoa kwako
Zinaweza kuwa nzuri au mbaya lakin naamini Asilimia 90% huwa ni mbaya
Binafsi mimi kuna kauli moja niliambiwa nikabaki naduwaa
"Najua mimi sio mzuri lakini huwezi kumpata aliye bora kunizidi mimi"
Je, wewe ulipewa kauli gani ambayo hadi leo unaikumbuka?