Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Lahaulaah laufith"Nilikua na wee kwa hisani tyuuh kwako, na sahivi hisani yangu imeishaaa"
Hapooo ndo naachwaa aani, wakati huo nimezamaaa kwake, na mapenzi ndo nayaanza. Nusu niwehukwe kuwa chizi, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Siku nakutana nae mlimani main campus, anasema "daaah mtoto unazidi kushynee tyuuh"
nkamjibu "ndyooo nimempata mtu wa kunisitiri sahivi hisani si uliondoka nayo wee" alitazama chini kwa aibuuu.
Now muda wote kunifuatiliaaa. Afu mie hata mshipa wa nyege haustuki kwake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]