- Thread starter
- #41
Siasa za ushawishi kwa CCM Zanzibar zimeshindikana, huko ni kutumia Dola tu. CCM inashindwa kulinda maslahi ya Zanzibar kwenye Muungano. Upinzani umejikita kwenye Hoja za mashiko za kizalendo. CCM Bara inatumia upenyo wa kumlinda aliyepandikizwa kuongoza Zanzibar, kumlinda kwa kutumia vyombo vya muungano ili kufikia maslahi yao. Huo ndio ukweli.