Mbona wanaohamia ccm kutoka vyama vingine wanagombea mwezi huo huo au unasahau ya Mtulia, Waitara,Ryoba, Kiranga, Dr.Ole, na wengine wengi sikuwataja.Haiwezekani uhamie mwaka Huu halafu ugombee uongozi? Haiwezekani
Km unatumika na Mabeberu tutajuaje
Wapewe kipindi cha uangalizi kwanza
Mbona hakuna muunganiko kati ya mtanzania kujiunga na chama cha siasa kilichosajiliwa kukatiba, huku akipewa haki na katiba kugombea uongozi halafu mjinga mmoja aje na DHANA ZA UBEBERU kujaribu kuzuia haki ya raia ya kikatiba.Haiwezekani uhamie mwaka Huu halafu ugombee uongozi? Haiwezekani
Km unatumika na Mabeberu tutajuaje
Wapewe kipindi cha uangalizi kwanza
HIZBU ni nelo la kiarabu lenye maana ya CHAMA..Ndio Kaka ni wale masalia ya sultan
HIZBU ni nelo la kiarabu lenye maana ya CHAMA..
Kwahiyo ukisema hizbu inabidi uunganishe neno, mfano HIZBULLAH maana yake chama cha Mungu...
HizbuAlwatan, Hizbutaharia nk,..
Waitara alihamia na ndani ya wiki tano akawa Mbunge na baada ya miezi miwili akawa waziri sembuse wenye mwaka!!!!!!!!!! Jaribu kubalance andiko lako KiongoziHaiwezekani uhamie mwaka Huu halafu ugombee uongozi? Haiwezekani
Km unatumika na Mabeberu tutajuaje
Wapewe kipindi cha uangalizi kwanza
Wewe ndivyo ulivyosimuliwa na unaowapenda, lakini wana CUF wanajua mali za chama zipo kwenye daftari la mali za chama zilizowasilishwa kwa msajiri wa Vyama vya Siasa zikiakisi matumizi ya Ruzuku ya chama. Usijali Mahakama itatafsiri tu zipi ziliazimwa zipi hazikuazimwa😃😃😃Mali nyingi zilizokuwa zikitumika ni za watu binafsi walipoondoka cuf nazo walichukuwa kilicho chao watachukua halafu waone kitachowakuta hawo cufccm.
Maalim(mwalimu ),hii Tanzania inawalimu wawili tu ,nahawa wanajua kufundisha/kuelekeza mana wakiongea tu kundikubwa LA wanafunzi huelewa....nao ni Maalim seif na nyerere peke aoSema anapendwa na ma hizbu
Wazanzibar Wengi hawamkubali
Leo umeshakunya kweli?Haiwezekani uhamie mwaka Huu halafu ugombee uongozi? Haiwezekani
Km unatumika na Mabeberu tutajuaje
Wapewe kipindi cha uangalizi kwanza
HIZBU hakikuwa na MACHOTORA ,chama cha machotara kilikuwa Umma Party, kilichokuwa chama cha akina Salim Ahmed Salim, akina Abrahaman Mohammed Babu nk, na hicho ndicho chama kilichofanya Mapinduzi ZanzibarHapo nimekuelewa Mkuu
Nilikuwa namaanisha wale machotara hizbu masalia ya sultan
Unashangaa mwaka mmoja, wakati nyinyi mliwanunua wabunge na madiwani wanahama leo kesho wanachukuwa fomu wanagombea kupitia CCM na anashinda kwa mtutu wa bunduki.Haiwezekani uhamie mwaka Huu halafu ugombee uongozi? Haiwezekani
Km unatumika na Mabeberu tutajuaje
Wapewe kipindi cha uangalizi kwanza
Vipi walio hama upinzani na kupewa vyeo serekalini siku hiyo hiyo? Kwa nini kwa wengine iwe haramu?Haiwezekani uhamie mwaka Huu halafu ugombee uongozi? Haiwezekani
Km unatumika na Mabeberu tutajuaje
Wapewe kipindi cha uangalizi kwanza
Mtolea wa Cuf alihamia lini na akagombea lini? Waitara wa chadema alihamia lini na akagombea lini? Marwa Ryoba alihamia lini akagombea lini?Haiwezekani uhamie mwaka Huu halafu ugombee uongozi? Haiwezekani
Km unatumika na Mabeberu tutajuaje
Wapewe kipindi cha uangalizi kwanza
HIZBU hakikuwa na MACHOTORA ,chama cha machotara kilikuwa Umma Party, kilichokuwa chama cha akina Salim Ahmed Salim, akina Abrahaman Mohammed Babu nk, na hicho ndicho chama kilichofanya Mapinduzi Zanzibar
MACHOTARA ndio waliotufikisha hapa, Unajua kama Salim Ahmed Salim alitunukiwa tuzo na Nyerere kwa kazi nzuri ya kuizamisha Zanzibar katika makucha ya Nyerere??
Washukuru Machotara bila ya wao tusingelikuwa hapa..
Haiwezekani uhamie mwaka Huu halafu ugombee uongozi? Haiwezekani
Km unatumika na Mabeberu tutajuaje
Wapewe kipindi cha uangalizi kwanza
Hapana Mkuu, hao mnaowaita Machotara ndio walioleta Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, walichoka kutawaliwa na Warabu wakati wao wenyewe walikuwa wanajiona wamechanganya damu za pande zote za Mwafrika na Mwarabu..Tuwashukuru machotara! Hawa wanaohubiri kujitenga kati ya pemba na unguja?
Acha utani mkuu
Hapana Mkuu, hao mnaowaita Machotara ndio walioleta Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, walichoka kutawaliwa na Warabu wakati wao wenyewe walikuwa wanajiona wamechanganya damu za pande zote za Mwafrika na Mwarabu..
Umeshawahi kusikia mleta mapinduzi nchi za kusini mwa Afrika anaitwa Kanal Mahafudh nae alikuwa chotara, alie karibisha Wachina Afrika Abrahan Mohamed Babu nae alikuwa chotara..
Sisi wafrika tuliona poa tu kutawaliwa na bwana Muarabu, tulikuwa hatuna wasi na hilo.. ,
Machotara walitaka kujitawala L, hesabu zao zilienda kombo, Nyerere aliwazidi kete..
Zanzibar ya yoyoma, Mwafrika kashika hatamu nchi yaenda mrama..