Uchaguzi 2020 Kauli za mgombea wa CHADEMA zinashangaza sana

India wanatengeneza umeme wa jua wa megawati 10000 kwa trilioni 8, tanzania tunatengeneza umeme wa maji (stieglers gorge) megawati 1200 kwa trillion 6. sasa hebu tueleze kuwa ni umeme upi wenye gharama hapo?

Acha maneno tupu, kwanza JNHPP ni 2100 MW, sio 1200, vivyo hivyo hata hizo data za India utakuwa hujui tu unacho andika, lete link hapa. Huwezi zalisha 10,000 kwa 8trn Tzs, ni mjinga na asiye na utaalamu wa mambo ya Energy anaweza kuropoka hivyo, bila shaka nyie ndio mmemdanganya Lissu anaenda kusema vitu Vya uongo na aibu.

Narudia kwa herufi kubwa, UMEME WA MAJI NI GHARAMA NAFUU ZAIDI YA UMEME WA JUA, UPEPO NA GESI. Mfikishie salamu Lissu na mmefundisha asiwe anaropoka mambo ya kitaalamu.
 
Pesa zinapatikana kwa kodi zinazoliopwa. Sio mpaka uuze korosho.
Fedha za kigeni zinapatikana kwa kuuza bidhaa nje. Sisi bado ni nchi masikini rais hawezi kuchukua kodi zetu akapeleka misri kulipia bwawa au marekani kulipia ndege. Miradi mikubwa yote ni pesa za mkopo au misaada ya hao mnaowaita mabeberu.
 
o
Kwa nn wasingeboresha hayo mabwawa ili kupunguz gharama kama yazalisha umeme huo huo wa bei rahis?acha kufikiria kwa kutumia matope,tumiq ubongo
Kwahiyo kwenye akili zako, kukarabati Ni Bora kuliko kuweka kitu kipya🤔? Alafu kumbuka hoja kubwa hapa Ni kwamba mabwawa yaliopo, hayakidhi hitaji la umeme kwa watanzania.
Sasa Hili la umeme nalo Ni la kupinga kweli🤔?Yaani hauoni kabisa umuhimu wa nchi kuwa na chanzo cha umeme cha uhakika😲?.Kama hii ndio misingi ya Sera zenu, Basi hamtakiwi kupewa nchi .Acheni kubweka 🗣️🗣️ bila hoja za msingi.
 
CCM acheni unafiki na udouble standard! Alipogombea DK Slaa kila alichoongea mlisema ooh! Hana jipya, mzee muongo na mzushi, mara ooh! anazeeka vibaya! Mkampakazia na mengine mengi mpaka mambo yake na mkewe eti kapora mke wa mtu! Mkaenda mbali zaidi hata kusema alifukuzwa upadre sababu aliiba sadaka! Alafu leo baada ya kukabwa pabaya na Lissu unataka kujifanya eti unamsifu DK Slaa kuliko Lissu! Na bado mpaka mtaongea ukweli maana Lissu anapiga mlemle mpaka mmepoteana, wenyewe kwa wenyewe! Unapoteana hadi wewe na akili yako! Hapa unasema unamshangaa, Tena saa hiyoiyo unasema lakini huwezi kushangaa, Je mko wangapi hapo!?? Acheni Lissu amwage sera, kubalini kuwa mmeshakwama na mpishe watu wenye mawazo mapya waivushe Tanzania! Leo unaibuka na kutueleza habari za mitambo ya umeme wakati tangu mwaka 2005 Kikwete na CCM walisema tatizo hilo litakuwa historia ndani ya mwaka mmoja tu, Je yako wapi!??
 
CCM imekaa madarakani karibu miaka 60 alafu mpaka leo umeme unaozalishwa haukidhi mahitaji ya Watanzania alafu bado unapigia debe CCM iendelee kutawala, hivi huoni kuwa ugonjwa wako kichwani ni wa hatari sana!??
 
Lissu mpaka anatia aibu,mbona sera za kutembea nazo yeye kama yeye zipo nyingi tu.kwanini anapambana kuonyesha kwamba mambo mazuri aliyofanya JPM si lolote sichochote,ilhali ni mambo yenye kuleta manufaa kwa nchi?.
Masikini Lissu anajikaanga mwenyewe.
 
Fedha za kigeni zinapatikana kwa kuuza bidhaa nje. Sisi bado ni nchi masikini rais hawezi kuchukua kodi zetu akapeleka misri kulipia bwawa au marekani kulipia ndege. Miradi mikubwa yote ni pesa za mkopo au misaada ya hao mnaowaita mabeberu.
Acha kukariri,kuna vyanzo vingi vya mapato. Hata kodi kutoka nje zingine zinalipwa in term of Usd. Na sio kwamba ukinunua kitu nje au mkandarasi akitoka nje iwe ni mkopo au uwe na Usd.
 
Matokeo yake anapata aibu tu.
 
CCM imekaa madarakani karibu miaka 60 alafu mpaka leo umeme unaozalishwa haukidhi mahitaji ya Watanzania alafu bado unapigia debe CCM iendelee kutawala, hivi huoni kuwa ugonjwa wako kichwani ni wa hatari sana!??
Ndio maana kupitia serikali hiyohiyo ya CCM, miradi kikubwa ya kuzalisha umeme, utakaokidhi mahitaji ya watanzania imeanzishwa.Acha nionekane Nina tatizo kichwani kwa kussuport miradi hii, hata Kama imechelewa, kuliko kuonekana kima na intarahamwe Kama wewe,kwa kuungana na Chadema kuipinga miradi hii itakayo wanufaisha watanzania na Mimi nikiwemo Mimi.Mkuu nadhani mimba yako ilibebwa kipindi ambacho wazazi wako wote walikuwa wamelewa.
 
Nadhani huyu atakuwa hajui chochot kabisa , natuma hii atachment kama yupo humu Jami forum asome asiwadanganye watu.
 
Attachments

Delete ccm Oct 28
 
CCM imekaa madarakani karibu miaka 60 alafu mpaka leo umeme unaozalishwa haukidhi mahitaji ya Watanzania alafu bado unapigia debe CCM iendelee kutawala, hivi huoni kuwa ugonjwa wako kichwani ni wa hatari sana!??
Umeme haukidhi mahitaji ungesambazwa vijijini kama njugu?
 
Ni wewe tu ndiye huelewi. Hydro power source is very unreliable in the tropical areas. Gesi, makaa ya mawe, jua, na upepo ndiyo natural sources of power which are highly reliable and abundant. Sijui unanielewa au ninachoka bure kuyaeleza haya.
 
Kidatu ilianza lini? Mbona inafanya kazi mpaka leo. Au wewe ndio ulikuwa unafungulia maji tupate mgao wa umeme?
 
Fedha za Ndani maana yake fedha za kodi zetu kujengewa ni haki yetu sasa kwanini aue na watu apoteze na watu wawalawiti Mashekhe wazulumu wafanyakazi na Wafanyabiashara na wakulima wa korosho
Kaka hiyo nayo sera au chombezo, hebu tupe hoja za kujenga bwana hayo mambo ya kusikia sikia hayawasaidii watz kule kijijini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…