Uchaguzi 2020 Kauli za mgombea wa CHADEMA zinashangaza sana

Hakusema ni ghali, alisema uzalishaji wa umeme kwa kutumia maji hauna garantii for the long run hasa kwenye hizi zetu za kitropiki. Alifanya utafiti.
Kwani mimi nimeandika nini? Je ni kweli maji sio ya uhakika mto Rufiji na Ruaha? Alisema maji sio ya uhakika na ghali,bora kutumia gas ambayo ni cheap.
 
Binafsi nampongeza Rais JPM kujenga mradi mkubwa kama ule kwa pesa za ndani ila. Naomba kijua kwanini deni la Taifa nimezidi kuwa kubwa huku tukiamini hela inayotumika ni yetu?
 
Binafsi nampongeza Rais JPM kujenga mradi mkubwa kama ule kwa pesa za ndani ila. Naomba kijua kwanini deni la Taifa nimezidi kuwa kubwa huku tukiamini hela inayotumika ni yetu?
Kwani hiyo hela inayolipa deni la taifa ni ya nani? Kila mwezi bil 600+ zinalipa deni la taifa ni za nani?
 
Kwani hiyo hela inayolipa deni la taifa ni ya nani? Kila mwezi bil 600+ zinalipa deni la taifa ni za nani?
Ndio uniambia kama anatumia hela za ndani, hakopi, inakuaje deni la Taifa lipande kwa zaidi ya 100%.
 
Ndio uzuri kubishana kwa hoja. Nadhani wagonbea wakikutanishwa tutajua nani msema kweli
 
Y
Ndio uzuri kubishana kwa hoja. Nadhani wagonbea wakikutanishwa tutajua nani msema kweli
Yaani mgombea wa CCM afanye mjadala na mgombea wa Chadema? Mgombea ambae anasema eti bora kujenga tramways kuliko barabara. Kukaa ubelgiji na kuona tramways imekuwa sababu ya kutupiga biti.
 
Mr Maganja anakuhusu nini? Mimi naongelea ukweli halisi wa mambo.
Mfanyie kampeni siyo unamuacha pake yake unajipendekeza ccm, wakati ulishasema wazi humu kuwa sasa wewe ni mfuasi wa Mbatia na nccr
 
Nyie mtu akishaanza kushabikia kufilana huwa hawezi kufocus kwenye mambo ya msingi, kimsingi Lisu siyo chaguo la chadema ila mabebelu, tena sasa ana ulaia wa nchi hiyo sijui tunajua hilo
Magu amezidi kwa ukabila na mambo ya kienyeji tunahitaji rais makini sio huyu wa vichakani.
 
Wewe nadhani maarifa na IQ yako itakuwa kidogo sana. Waachie wenye akili, wataelewa kwa nini ilikuwa busara zaidi kuimarisha sekta ya nishati kwa kuvuna gas kuliko maji. Wewe bado sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mbali naona Lissu ana unga " juhudi" kimya kimya ili asisutikiwe. Beki anapotoa pasi fyongo ina msaidia mshambuliaji wa timu pinzania kufunga goli kwa urahisi. Poleni wafuasi wake.
 
Wewe nadhani maarifa na IQ yako itakuwa kidogo sana. Waachie wenye akili, wataelewa kwa nini ilikuwa busara zaidi kuimarisha sekta ya nishati kwa kuvuna gas kuliko maji. Wewe bado sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Toa mchanganuo wa gharama kwa kutupa takwimu ya specific capital costs za miradi ya kuzalisha 2100M za umeme kwa kutumia gesi, maji, na jua. Takwimu ziwe based kwenye bei ya sasa ya soko na case study area iwe Tanzania.

Muda kama utakutosha tupatie na takwimu ya levelised cost of capital kwa kila mradi. Tumia life span ya mradi ya miaka 25 kwa kuanzia. Baada ya hapo tutajadili kama Lissu alikuwa sahihi ama la.
 
Nje ya sheria,Lisu ni tabula rasa.

Na huko kwenye sheria ni vile tu mimi Ni layman lakini mambo kibao tumeona akiingiza watu wake mkenge halafu akala za uso.

He's just a con man
 
Kama hajui hata JNHPP ni zaidi ya 2100 MW na sio 1200MW , unafikiria hizo za India anajua anachokisema, achane naye ndio waropokaji wenyewe has.
Kweli mkuu halafu eti anajifanya anajua sana kumbe zero brain!
 
India wanatengeneza umeme wa jua wa megawati 10000 kwa trilioni 8, tanzania tunatengeneza umeme wa maji (stieglers gorge) megawati 1200 kwa trillion 6. sasa hebu tueleze kuwa ni umeme upi wenye gharama hapo?
Halafu sisi jua liko kwa wingi kuliko india, Kuna haja ya kuweka open debate kwa miradi mikubwa,
 
India wanatengeneza umeme wa jua wa megawati 10000 kwa trilioni 8, tanzania tunatengeneza umeme wa maji (stieglers gorge) megawati 1200 kwa trillion 6. sasa hebu tueleze kuwa ni umeme upi wenye gharama hapo?
Tunisia na africa ya kusini wanajenga solor planet pia ngoja tuone ufanisi, wasiwasi wangu wakati wa masika inakuwaje? Saudi arabia wako jangwani mbona hawajengi Soler planets
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…