Kauli za Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla, zinakiuka Haki za msingi za Binadamu

Kauli za Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla, zinakiuka Haki za msingi za Binadamu

Kama kakiuka haki za binadamu inapaswa pia na wapigwe risasi hadharani hao panya road wote washuhudie watakvyo uliwa ili haki za binadamu zisikiukwe
 
Acheni kutetea vitu visivyo na maantiki, kwa hiyo mlitaka aseme wakawaangalie hao watoto hotelini? Au kanisani? Au misikitini?
Tulitaka aje na mikakati ya kutokomeza uhalifu na siyo kuja na kauli za kibabe ad suluhisho...

Grow up
 
Halafu huu wimbo wa haki haki ndio unaotuharibia dunia sikuhizi, sasa hapo kavunja haki ipi wenawe au unabwabwaja tu hapa?

Eti haki za binadamu! Haki za binadamu au ushuzi!!?
 
Hofu ya aliyetoa hii mada ni huenda ambae sio panya road nae akashughulikiwa. Tatizo lipo hapo. Umakini unahitajika. Usifikiri kwamba panya road Wana alama sehemu kwamba inakua rahisi polisi kuwajua. Hapo Kuna mambo ya kutajana na Kuna ambao hawahusiki nao watakuwemo
Ni rahisi tu kuwajua wala msicomplicate operation ionekane ngumu kiasi hiko

Ni kama operation/ kamatakamata ya wazururaji
 
Harafu huu ushenzi unaoitwa haki za binadamu, ndiyo unalea uharifu, ushoga. Harafu nyinyi mnao tetea uvunjwaji wa sheria kwa kisingizio haki.

Muwe inawakumbusha wapenda haki kama haki zinaenda sambamba na wajibu, unapokiuka wajibu wa kulinda haki ya mwenzio basI ujue inapoteza haki yako. Timiza wajibu udai haki. Usitegemee kulindwa hakI yako ili hali una ukiuke haki za mwenzàko
 
Kauli iliyotolewa na Mkuu wa wa Dar, Amos Makala, kwa wazazi wa watoto kuwa atakayemkosa mtoto wake nyumbani, basi anapaswa aende kituo cha Polisi au hospitali kwenda angalia kama yuko huko, ni kauli ya vitisho visivyokuwa na msingi na ni kauli ambayo inakiuka Haki za Binadamu...
Aombe radhi Kwa wazazi wa Panya road? Huna akili.

Tena Makalla Kawa muungwana... Alitakiwa awaambie " Wakawatafute mochwari" .. Kenge
 
Ila madogo acha washikishwe adabu, maana ndo tunaitwa wanaume wa Dar, yaani hatujiwezi kwa lolote mpaka tunatishwa na hivi vitoto viteja.
Hhhhhhhhhhhhhh nimecheka sana aide
 
Back
Top Bottom