Kauli za Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla, zinakiuka Haki za msingi za Binadamu

Kama kakiuka haki za binadamu inapaswa pia na wapigwe risasi hadharani hao panya road wote washuhudie watakvyo uliwa ili haki za binadamu zisikiukwe
 
Acheni kutetea vitu visivyo na maantiki, kwa hiyo mlitaka aseme wakawaangalie hao watoto hotelini? Au kanisani? Au misikitini?
Tulitaka aje na mikakati ya kutokomeza uhalifu na siyo kuja na kauli za kibabe ad suluhisho...

Grow up
 
Halafu huu wimbo wa haki haki ndio unaotuharibia dunia sikuhizi, sasa hapo kavunja haki ipi wenawe au unabwabwaja tu hapa?

Eti haki za binadamu! Haki za binadamu au ushuzi!!?
 
Ni rahisi tu kuwajua wala msicomplicate operation ionekane ngumu kiasi hiko

Ni kama operation/ kamatakamata ya wazururaji
 
Harafu huu ushenzi unaoitwa haki za binadamu, ndiyo unalea uharifu, ushoga. Harafu nyinyi mnao tetea uvunjwaji wa sheria kwa kisingizio haki.

Muwe inawakumbusha wapenda haki kama haki zinaenda sambamba na wajibu, unapokiuka wajibu wa kulinda haki ya mwenzio basI ujue inapoteza haki yako. Timiza wajibu udai haki. Usitegemee kulindwa hakI yako ili hali una ukiuke haki za mwenzàko
 
Aombe radhi Kwa wazazi wa Panya road? Huna akili.

Tena Makalla Kawa muungwana... Alitakiwa awaambie " Wakawatafute mochwari" .. Kenge
 
Ila madogo acha washikishwe adabu, maana ndo tunaitwa wanaume wa Dar, yaani hatujiwezi kwa lolote mpaka tunatishwa na hivi vitoto viteja.
Hhhhhhhhhhhhhh nimecheka sana aide
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…