Kauli za Nchimbi zaunganisha Taifa. Watanzania waunga mkono utekelezaji wa ilani ya CCM ya 2025

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
My friends ladies and gentlemen,

Sasa ni wazi,
upekee wa kauli za makamu wa Rais wa Tanzania Dr.Emmanuel John Nchimbi katika masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa, umeendelea kua kiungo muhimu na chachu ya umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania wote bila kujali itikadi, mirengo ya kisiasa, dini wala kabila.

Dr.Emmanuel John Nchimbi amekua tiba ya mioyo ya waTanzania iliyopondeka kwa chuki binafsi zao na pengine majivuno yasiyo na tija na kujikuta anaungwa mkono na kila mTanzania, na daima katika hotuba zake nadra sana kuzitoa hadharan nchini, zimeendelea kua chachu ya waTanzania wote kuhamasika kuungana, kuzungumza lugha moja na kua na uelewa, ufahamu na uelekeo wa pamoja katika masuala mazima ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwa ustawi wa mama Tanzania.

Kwasasa,
akamu wa Rais Dr.Emmanuel John Nchimbi, ndio turufu ya kipekee sana ya CCM na kwa waTanzania wote kujipanga nyuma yake kwa mustakabali mwema wa mama Tanzania kwa siku zijazo, hususani baada ya ngwe ya pili ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan kutamatika kikatiba 2030.

Una maoni gani dhidi ya pendekezo na turufu hii ya waTanzania wote wa ndani na nje ya CCM, kwamba Dr. Emmanuel John Nchimbi ndie pekee kiongozi shupavu na madhubuti sana, anaestahili kuiliongoza taifa letu baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan kuhitimisha muhula wake wa pili 2030?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
My friends ladies and gentlemen,

Sasa ni wazi,
upekee wa kauli za makamu wa Rais wa Tanzania Dr.Emmanuel John Nchimbi katika masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa, umeendelea kua kiungo na chachu ya umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania wote bila kujali itikadi, mirengo ya kisiasa, dini wala kabila.

Dr.Emmanuel John Nchimbi amekua tiba ya mioyo ya waTanzania iliyopondeka kwa chuki na majivuno na kujikuta anaungwa mkono na kila mTanzania, na daima katika hotuba zake nadra sana kuzitoa hadharan nchini, zimeendelea kua chachu ya waTanzania wote kuhamasika kuungana, kuzungumza lugha moja na kua na uelewa, ufahamu na uelekeo wa pamoja katika masuala mazima ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwa ustawi wa mama Tanzania.

Kwasasa,
akamu wa Rais Dr.Emmanuel John Nchimbi, ndio turufu ya kipekee sana ya CCM na kwa waTanzania wote kujipanga nyuma yake kwa mustakabali mwema wa mama Tanzania kwa siku zijazo, hususani baada ya ngwe ya pili ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan kutamatika kikatiba 2030.

Una maoni gani dhidi ya pendekezo na turufu hii ya waTanzania wote wa ndani na nje ya CCM, kwamba Dr. Emmanuel John Nchimbi ndie pekee kiongozi shupavu na madhubuti sana, anaestahili kuiliongoza taifa letu baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan kuhitimisha muhula wake wa pili 2030?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Ila naona unapapalika,maana nasikia tayari mmeshagawana mbichi.

Kwa taarifa yenu makamu hamtamuweza maana anaijua sana ccm na Futuna zake zote
 
My friends ladies and gentlemen,

Sasa ni wazi,
upekee wa kauli za makamu wa Rais wa Tanzania Dr.Emmanuel John Nchimbi katika masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa, umeendelea kua kiungo muhimu na chachu ya umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania wote bila kujali itikadi, mirengo ya kisiasa, dini wala kabila.

Dr.Emmanuel John Nchimbi amekua tiba ya mioyo ya waTanzania iliyopondeka kwa chuki binafsi zao na pengine majivuno yasiyo na tija na kujikuta anaungwa mkono na kila mTanzania, na daima katika hotuba zake nadra sana kuzitoa hadharan nchini, zimeendelea kua chachu ya waTanzania wote kuhamasika kuungana, kuzungumza lugha moja na kua na uelewa, ufahamu na uelekeo wa pamoja katika masuala mazima ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwa ustawi wa mama Tanzania.

Kwasasa,
akamu wa Rais Dr.Emmanuel John Nchimbi, ndio turufu ya kipekee sana ya CCM na kwa waTanzania wote kujipanga nyuma yake kwa mustakabali mwema wa mama Tanzania kwa siku zijazo, hususani baada ya ngwe ya pili ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan kutamatika kikatiba 2030.

Una maoni gani dhidi ya pendekezo na turufu hii ya waTanzania wote wa ndani na nje ya CCM, kwamba Dr. Emmanuel John Nchimbi ndie pekee kiongozi shupavu na madhubuti sana, anaestahili kuiliongoza taifa letu baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan kuhitimisha muhula wake wa pili 2030?🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Naunga mkono hoja. Hakuna sababu ya kuchukiana na kuzushiana mambo mabaya, sababu za kisiasa
 
Ila naona unapapalika,maana nasikia tayari mmeshagawana mbichi.

Kwa taarifa yenu makamu hamtamuweza maana anaijua sana ccm na Futuna zake zote
Gentleman,
Dr.Emmanuel John Nchimbi ni miaka 10 bila breki.

2030-2040, huna haja ya kubabaika na porojo zingine gentleman 🐒
 
Watanzania wa sasa siyo vilaza kama mnavyo dhani.
Gentleman,
hakuna haja ya kuchukia au kuona wivu baada ya waTanzania kuunganishwa kwa kauli moja tu ya Dr Emmanuel John Nchimbi Makamu wa Rais wa Tanzania.

Kwanini unachukia waTanzania kuungana na kupendana?🐒
 
My friends ladies and gentlemen,

Sasa ni wazi,
upekee wa kauli za makamu wa Rais wa Tanzania Dr.Emmanuel John Nchimbi katika masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa, umeendelea kua kiungo muhimu na chachu ya umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania wote bila kujali itikadi, mirengo ya kisiasa, dini wala kabila.

Dr.Emmanuel John Nchimbi amekua tiba ya mioyo ya waTanzania iliyopondeka kwa chuki binafsi zao na pengine majivuno yasiyo na tija na kujikuta anaungwa mkono na kila mTanzania, na daima katika hotuba zake nadra sana kuzitoa hadharan nchini, zimeendelea kua chachu ya waTanzania wote kuhamasika kuungana, kuzungumza lugha moja na kua na uelewa, ufahamu na uelekeo wa pamoja katika masuala mazima ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwa ustawi wa mama Tanzania.

Kwasasa,
akamu wa Rais Dr.Emmanuel John Nchimbi, ndio turufu ya kipekee sana ya CCM na kwa waTanzania wote kujipanga nyuma yake kwa mustakabali mwema wa mama Tanzania kwa siku zijazo, hususani baada ya ngwe ya pili ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan kutamatika kikatiba 2030.

Una maoni gani dhidi ya pendekezo na turufu hii ya waTanzania wote wa ndani na nje ya CCM, kwamba Dr. Emmanuel John Nchimbi ndie pekee kiongozi shupavu na madhubuti sana, anaestahili kuiliongoza taifa letu baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan kuhitimisha muhula wake wa pili 2030?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Makalio kabisa
 
Wewe kigeugeu!
 
Back
Top Bottom