Kauli za Nchimbi zaunganisha Taifa. Watanzania waunga mkono utekelezaji wa ilani ya CCM ya 2025

Kauli za Nchimbi zaunganisha Taifa. Watanzania waunga mkono utekelezaji wa ilani ya CCM ya 2025

watanzania wakae mkao wa kula mama anakwenda kuliponya taifa kwa ujumla kama ilivyo ada
 
Mama yako tangu jana kagoma kula na uso umemvimba kisa jambo hili, na vile ametanywa Maria Sarungu, maza hali imekuwa mbaya zaidi
 
Gentleman,
Dr.Emmanuel John Nchimbi ni miaka 10 bila breki.

2030-2040, huna haja ya kubabaika na porojo zingine gentleman 🐒
2030-2040 ni zamu ya mh Lissu kuliongoza Taifa la Tanganyika
 
My friends ladies and gentlemen,


Sasa ni wazi,
upekee wa kauli za makamu wa Rais wa Tanzania Dr.Emmanuel John Nchimbi katika masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa, umeendelea kua kiungo muhimu na chachu ya umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania wote bila kujali itikadi, mirengo ya kisiasa, dini wala kabila.

Dr.Emmanuel John Nchimbi amekua tiba ya mioyo ya waTanzania iliyopondeka kwa chuki binafsi zao na pengine majivuno yasiyo na tija na kujikuta anaungwa mkono na kila mTanzania, na daima katika hotuba zake nadra sana kuzitoa hadharan nchini, zimeendelea kua chachu ya waTanzania wote kuhamasika kuungana, kuzungumza lugha moja na kua na uelewa, ufahamu na uelekeo wa pamoja katika masuala mazima ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwa ustawi wa mama Tanzania.

Kwasasa,
akamu wa Rais Dr.Emmanuel John Nchimbi, ndio turufu ya kipekee sana ya CCM na kwa waTanzania wote kujipanga nyuma yake kwa mustakabali mwema wa mama Tanzania kwa siku zijazo, hususani baada ya ngwe ya pili ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan kutamatika kikatiba 2030.

Una maoni gani dhidi ya pendekezo na turufu hii ya waTanzania wote wa ndani na nje ya CCM, kwamba Dr. Emmanuel John Nchimbi ndie pekee kiongozi shupavu na madhubuti sana, anaestahili kuiliongoza taifa letu baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan kuhitimisha muhula wake wa pili 2030?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Huyo Nchimbi akawaokote mafala wa aina yako, kwasasa hatuna muda wa mahubiri. Tunataka katiba mpya, na sio porojo za kuwa itapatikana sijui ipambaniwe maana imeshapambaniwa sana.
 
Hii ni cover!!! Na kweli kafunikwa hasa. Mwaka 2030 ni mshangao juu ya mshangao.
ok,
but zingatia maelezo kwenye hoja mahususi mezani na uiweke kama reffernce na kumbukumbu muhimu sana wakati muafaka ukiwadia gentleman:1Head:
 
NGOJA TUONE KATIBA MPYA IJAYO ITAKAVOKUWA HUWENDA 2030 RAISI AKATOKA "SAU" NASIVO TULIVOZOEA.
huna haja ya kuongoja vitu vilivyo tayari dhahiri gentleman,

na wala hakuna haja ya kupoteza wakati na kuzubaishwa na hisia za kungoja vitu visivyo onekana hali ya kua mambo ni bayana kabisa hadharani kwa kila mTanzania:1Head:
 
Huyo Nchimbi akawaokote mafala wa aina yako, kwasasa hatuna muda wa mahubiri. Tunataka katiba mpya, na sio porojo za kuwa itapatikana sijui ipambaniwe maana imeshapambaniwa sana.
Gentleman,
kwamba hapo umeeleza jambo jipyaaaa tofauti na kauli ya makamu wa raisi Dr.Emmanuel John Nchimbi iliyowaunganisha waTanzania wote, right?:pedroP:
 
Kwahiyo tumekubaliana kuwa sasa tunahitaji kubakia na Tanganyika na watanganyika?
Gentleman,
suala la katiba mpya ni miongoni mwa vipaumbele vya wananchi vilivyowafanya waichague CCM kwa kishindo cha zaidi 98%. Na kauli iliyoliunganisha taifa ya makamu wa rais Dr.Emmanuel Nchimbi kuhusu katiba mpya, ni katika mchakato wa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030.

Na kwakua suala la katiba mpya ni la waTanzania wote hakuna haja ya kujaribu kuscore points ambazo hakuna :1Head:
 
Back
Top Bottom