ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Asante sanakaribu sana ndugu mdau![]()
Asante sanakaribu sana ndugu mdau![]()
Naunga mkono hojaMy friends ladies and gentlemen,
Sasa ni wazi,
upekee wa kauli za makamu wa Rais wa Tanzania Dr.Emmanuel John Nchimbi katika masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa, umeendelea kua kiungo muhimu na chachu ya umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania wote bila kujali itikadi, mirengo ya kisiasa, dini wala kabila.
Dr.Emmanuel John Nchimbi amekua tiba ya mioyo ya waTanzania iliyopondeka kwa chuki binafsi zao na pengine majivuno yasiyo na tija na kujikuta anaungwa mkono na kila mTanzania, na daima katika hotuba zake nadra sana kuzitoa hadharan nchini, zimeendelea kua chachu ya waTanzania wote kuhamasika kuungana, kuzungumza lugha moja na kua na uelewa, ufahamu na uelekeo wa pamoja katika masuala mazima ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwa ustawi wa mama Tanzania.
Kwasasa,
akamu wa Rais Dr.Emmanuel John Nchimbi, ndio turufu ya kipekee sana ya CCM na kwa waTanzania wote kujipanga nyuma yake kwa mustakabali mwema wa mama Tanzania kwa siku zijazo, hususani baada ya ngwe ya pili ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan kutamatika kikatiba 2030.
Una maoni gani dhidi ya pendekezo na turufu hii ya waTanzania wote wa ndani na nje ya CCM, kwamba Dr. Emmanuel John Nchimbi ndie pekee kiongozi shupavu na madhubuti sana, anaestahili kuiliongoza taifa letu baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan kuhitimisha muhula wake wa pili 2030?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu amabariki Nchimbi. Nikipata mtoto nitamuita NchimbiMy friends ladies and gentlemen,

Kweli nimeamini CCM na wana CCM wameishiwa hoja na kwa sasa hawana msimamo ktk siasa zao za Hadaa.My friends ladies and gentlemen,

Nashauri umuamini Mungu zaidi gentleman na itapendwza zaidi.Kweli nimeamini CCM na wana CCM wameishiwa hoja na kwa sasa hawana msimamo ktk siasa zao za Hadaa.
Ni wewe ambaye kwa siku zote umekuwa ukiwawabagaza watetezi wa haki za binadamu na wanaharakati ukiwapa majina ya hovyo kwamba ni vibaraka, na juzi umesifia kauli ya aliyewaita wanaharakati magaidi.
Eti Juzi tu, Emma amesema hakuna haja ya kuwashambulia watu hao wa haki za binadamu na wanaharakati (akina Maria) unakuja hapa "kujichetua" eti kauli yake imewaunganisha watu. Wananchi gani waliokubaliana na hoja hizi ya hadaa? Watanzania wa sasa siyo wale wa zamani, japo kidogo kidogo ila wanaeandelea kutambua pumba na mchele ktk siasa za Hadaa za CCM.
Kwa hiyo leo unataka kutuambia kuwa wamaharakati na watetezi wa haki za binadamu siyo vibaraka kwa kuwa wamesafishwa na Emma mnayemtaka akibebe chama ambacho kimechafuka kila mahali.
Hata hivyo mapokeo ya wananchi wengi mmeyaona na jinsi wanavyokejeli huu Usanii ya Hadaa..

Mosi namwamini Mungu ndiyo maana sina Unafiki wa kupaka rangi maovu zaidi ya kuitaka haki itamaki kuliko ccm ambao neno haki kwao ni mwiko.Nashauri umuamini Mungu zaidi gentleman na itapendwza zaidi.
Lakini pia nashauri kujiepusha na upotoshaji jukwaani ikiwa umefikia ukomo au kiwango chako cha salaio la mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja mahususi mezanai au hoja nyingine zozote zile jukwaani. Nadhani hilo nalo litapendeza zaidi.
In fact mpaka sasa,
waTanzania wanawajua kwa sura na majina yao maadui wa umoja, amani na usalama wa taifa letu, ambao aadhi yao ni vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi waliojificha miongoni mwa vyama vya siasa nchini. Kwasasabu ya utu na ustaarabu wa waTanzania, vibaraka na mamluki wao, watakataliwa kistaarabu sana kwenye sanduku la kura kwa wakati muafaka.
hayo mengine nadhani ni porojo zako useless tu jukwaani ambazo hakuna haja ya kupoteza nazo muda,
ila muhimu zaidi ni shukurani kwa Mungu, kwa waTanzania wote kuungana na kuunga mkono utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030![]()
nimefurahi sana ikiwa unamuamini Mungu pekee gentleman,Mosi namwamini Mungu ndiyo maana sina Unafiki wa kupaka rangi maovu zaidi ya kuitaka haki itamaki kuliko ccm ambao neno haki kwao ni mwiko.
Lakini pia hakuna nilipopotosha, Je siyo wewe uliyejaza nyuzi nyingi humu za kuwabagaza watetezi wa haki na wanaharakati tena wengine kwa majina ukiwaita vibaraka wa mabwenyenye? Hapa ni kama "unajichetua" kwa sababu umeona mnayempanga kukinusuru chama amelazimika kuongea lugha ya wananchi ili kukisafisha chama na hapo ndipo ninyi mliokuwa kinyume na hoja za wananchi za kutaka HAKI na Kupata KATIBA mmeona mdandie juu kwa juu. Napo hapo nimesahau kuwa teknolojia haisahau mlichokuwa mnaoandika.
Ama unadai hayo mengine ni porojo, Ila yafaa uelewe kuwa Wananchi wameungana wote ktk kudai haki na katiba mpya na siyo kwamba wameamini kauli ya Emma. Lililo dhahiri ni kwamba kupitia hotuba ya Emma, ni wazi sasa ndani ya ccm tumejua kuwa wapo wanaokwamisha mahitaji ya hoja za wananchi za upatikaji wa haki na katiba wanaoongozwa na upande mmoja wakiwemo Wasiira, m/kiti wazazi na ninyi akina kavulata.

Haya uliyoyaandika ya kuwaunga mkono watetezi wa haki za binadamu ktk kupigania haki na katiba mpya hayakuwa na si msimamo wako,chama chako wala serikali bali tu mmelazimika kwa kuwa sasa mmeona Wananchi wengi hawapo upande wenu. rejea kauli na hotuba za viongozi wengi wa chama juu ya haki, katiba na mtazamo wao juu wanaharati.Ni vizuri kuwaunga mkono waTatetezi wa haki za binadamu kisiasa, kijamii na kiuchumi kadiri inavyowezekana, lakini pia kua makini zaidi na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ambao ndio maadui hatari zaidi wa amani, umoja na usalama wa Taifa letu. Ni vizuri kuungana kizalendo na kukabiliana nao bila aibu na kuwasambaratisha bila huruma ikiwa wataleta kimbelembele cha kuchochea chuki, ghasia, uharibifu au kuleta maafa kwa mgongo wa demokrasia au harakati.
Gentleman,Haya uliyoyaandika ya kuwaunga mkono watetezi wa haki za binadamu ktk kupigania haki na katiba mpya hayakuwa na si msimamo wako,chama chako wala serikali bali tu mmelazimika kwa kuwa sasa mmeona Wananchi wengi hawapo upande wenu. rejea kauli na hotuba za viongozi wengi wa chama juu ya haki, katiba na mtazamo wao juu wanaharati.
Ama pia pamoja na maelezo yako haya hayalingani na uhalisia wa vitendo vinavyoendelea kwa sasa vya kuwakamata watu kwa kesi zisizo na tija kiasi cha kuingilia hata elimu kwa kuwafungulia kesi za kigaidi wahadhiri. Je kama ni nia njema ya dhati ya makamu kiongozi na serikali kwa nini sasa kasi ya kamatakamata imeaongeza. Hii ndiyo Hadaa kubwa.