Daaa1.Kifo ni kifo tu.
2.Hayo madini tembo hawali kayachimbeni ila kitalu C msikiguse.
3.Bandari ni maji tu watu awahami nayo leteni watu wakabidhini waiendeshe.
4.Utekaji ni drama za wapinzani.
5.Katiba ni kijitabu tu.
6.Kula urefu wa kamba yako ila usivimbewe.
Ongezea kauli za Rais Samia zilizokosa chembe ya Uzalendo.
Kura Inatakiwa kueshimiwa aisee kura ndo nguvu ya Umma ilipo ndo maana watu wanaozani reforms ni za chadema nacheka sanaAlisema mkimpigia kura au msipompigia CCM itashinda tu.
Anaamini ushirikinaAkiongea na waganga wa kienyeji kanda ya ziwa.....
"Najua mwaka huu mtapata wateja wengi, wakija kwenu msiwagombanishe, we mwambie tu sawa mambo yako yatakaa sawa"
🤦
Sometimes ana kauli fulani kama za DIVISHENI FOO 😎
Ingekuwa nchi imara alikuwa anafukuzwa ikulu. Hata Kenya tu hapoAliposema ni kijitabu na kifo ni kifo nilishangaa sana
Labda alimaanisha kuwa mkimpigia au msipompigia ana uhakika kura zotatosha 😂😂😂.Kura Inatakiwa kueshimiwa aisee kura ndo nguvu ya Umma ilipo ndo maana watu wanaozani reforms ni za chadema nacheka sana
Leaders are made, but can be supplemented by instincts, inborn talentsIs your head handsome? Kichwa chako kiko vizuri mleta mada,
Yeye mwenyewe alikiri secondary hakufanya vizuri na inawezekana ana elimu ya kuunga unga ila ana bahati sana yule mama,
Leaders are born or Leaders are made?
Kwani uongo??Alisema mkimpigia kura au msipompigia CCM itashinda tu.
Hatuwezi kujua kama ni ukweli au uongo kwa sababu hatuna tume huru ya uchaguzi.Kwani uongo??
Tunaongozwa na 🚮🚮🚮🚮1.Kifo ni kifo tu.
2.Hayo madini tembo hawali kayachimbeni ila kitalu C msikiguse.
3.Bandari ni maji tu watu awahami nayo leteni watu wakabidhini waiendeshe.
4.Utekaji ni drama za wapinzani.
5.Katiba ni kijitabu tu.
6.Kula urefu wa kamba yako ila usivimbewe.
Ongezea kauli za Rais Samia zilizokosa chembe ya Uzalendo.
Huo ni mtego hatouingiaHatuwezi kujua kama ni ukweli au uongo kwa sababu hatuna tume huru ya uchaguzi.
Akubali mageuzi ya kuweka tume huru kwanza, halafu tutajua ukweli.