Mkuu haya ni zaidi ya maumivu. Hii hali inatisha na inatisha sana trust me.. Hili jambo hili.. Mungu atusaidie sanaMkuu Mimi binafsi kinachouma ni kweli ndio Akili hizi za IDARA ZA USALAMA zipo hivyo?
Hii NCHI ya kijikundi cha watu.
Sisi tunaotafuta riziki juani athari zake tumeanza kuziona.
Halafu wamekaa kimya ..ni UPUUZI WA HALI YA JUU sikiwahi fikiria kama kuna watu UPSTAIR huko ni weupe to such extent.
Kama kuna mtu yupo nyuma ya hao na wote wanaoandaliwa basi AKILI HANA/HAWANA.
Hakika mkuu nauona mwisho wake wenye mashaka mengi sana. Amejigeuza toilet paper.Hana hicho kikundi bali amehakikishiwa kipo na ni kutoka uvsisiemu.. Wanamjaza upepo avuruge.. Mambo yakiharibika watamtoa kafara kivyovyote vile. RIP Shehe majini
Anafikiri hizi ni zama zile za kuambiwa CUF wameingiza majambia na watu wakaamini.💪🏿Hakika mkuu nauona mwisho wake wenye mashaka mengi sana. Amejigeuza toilet paper.
Anafikiri hizi ni zama zile za kuambiwa CUF wameingiza majambia na watu wakaamini.
Zama zimebadilika.
Alimaanisha kutembea ndotoni.. Huko Shao Lin Temple kwenyewe hakuna hao watu wanatembea umbali huo kwenye kambaVijana wenyewe mbona ni wazee???
Wao wenyewe hawajiamini, aliposema wanaweza kutembea juu ya kamba kilometa moja mwingine kacheka maana anaona ni sifa ambayo hawana.
Ila wewe ni mjinga sanaNyinyi wagalatia ndio mmemvika huo uongozi wa dini
Kwetu huyo hana uongozi wowote
Kaongea kama mwananchi wa kawaida
Acheni kuweweseka
Mnatafuta ugomvi na waislamu
Karibuni sana na tuko tayari
The system is cooked...Mkuu Mimi binafsi kinachouma ni kweli ndio Akili hizi za IDARA ZA USALAMA zipo hivyo?
Hii NCHI ya kijikundi cha watu.
Sisi tunaotafuta riziki juani athari zake tumeanza kuziona.
Halafu wamekaa kimya ..ni UPUUZI WA HALI YA JUU sikiwahi fikiria kama kuna watu UPSTAIR huko ni weupe to such extent.
Kama kuna mtu yupo nyuma ya hao na wote wanaoandaliwa basi AKILI HANA/HAWANA.
Kuna Kipindu pindu Mkuu huko nako.....au ni Bora kufa kwa kuhara na kutapika eti?!Ngoja niende zangu Malawi
Sasa niende wapi😀😀Kuna Kipindu pindu Mkuu huko nako.....au ni Bora kufa kwa kuhara na kutapika eti?!