Dah inchi ndio inaingia kwenye machafuko....Kuna kitu kibaya sana kinaandaliwa hapa
Mwenendo huu mkali wa Sheikh Mwaipopo unakuja katika kipindi ambacho chama tawala, CCM, kinaonekana kuzidiwa kete kihoja na kiushawishi kila kona na chama kikuu cha upinzani, CHADEMA, hasa katika kuwasha moto wa ufahamu wa haki za kikatiba na kijamii miongoni mwa wananchi
Safi sanaNyinyi wagalatia ndio mmemvika huo uongozi wa dini
Kwetu huyo hana uongozi wowote
Kaongea kama mwananchi wa kawaida
Acheni kuweweseka
Mnatafuta ugomvi na waislamu
Karibuni sana na tuko tayari