Kauli za Sheikh Mwaipopo; athari zake kwa jamii, ukimya wa polisi na fundisho la Rwanda 1994

Mkuu haya ni zaidi ya maumivu. Hii hali inatisha na inatisha sana trust me.. Hili jambo hili.. Mungu atusaidie sana
 
Hana hicho kikundi bali amehakikishiwa kipo na ni kutoka uvsisiemu.. Wanamjaza upepo avuruge.. Mambo yakiharibika watamtoa kafara kivyovyote vile. RIP Shehe majini
Hakika mkuu nauona mwisho wake wenye mashaka mengi sana. Amejigeuza toilet paper.

Anafikiri hizi ni zama zile za kuambiwa CUF wameingiza majambia na watu wakaamini.

Zama zimebadilika.
 
Hakika mkuu nauona mwisho wake wenye mashaka mengi sana. Amejigeuza toilet paper.

Anafikiri hizi ni zama zile za kuambiwa CUF wameingiza majambia na watu wakaamini.

Zama zimebadilika.
Anafikiri hizi ni zama zile za kuambiwa CUF wameingiza majambia na watu wakaamini.💪🏿
 
Vijana wenyewe mbona ni wazee???

Wao wenyewe hawajiamini, aliposema wanaweza kutembea juu ya kamba kilometa moja mwingine kacheka maana anaona ni sifa ambayo hawana.
 
Vijana wenyewe mbona ni wazee???

Wao wenyewe hawajiamini, aliposema wanaweza kutembea juu ya kamba kilometa moja mwingine kacheka maana anaona ni sifa ambayo hawana.
Alimaanisha kutembea ndotoni.. Huko Shao Lin Temple kwenyewe hakuna hao watu wanatembea umbali huo kwenye kamba
 
The system is cooked...
 
Kama oct 29 hadi polisi walikuwa wanabeba mali za watu kwenye maduka, sasa hao mbwa mwitu sijui wao itakuaje.
 
Huyu Sheikh Ubwabwa ana baraka zote kutoka kwa WAHUNI walioko kwenye mifumo ,AIGIPI ,DIG_EYS-S ,CDF wote wanajua anachokifanya ,kwahiyo hawezi kuguswa ,na hiyo anayosema route march watafanya nina uhakika watalindwa na jeshi la polisi.
 
Pamoja na Mambo ya hivi....Samia amepokea gawio leo na kusifia juhudi za pamoja zikiwemo na hizi za Sheikh Mwaipopo.!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…