if cap fits
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 1,461
- 2,062
Nimecheka sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],polisiccm wakaona hali si shwariZile bomba za makachero wa USA sio za mchezo,polisi waliokuwa wanamsubiri Lissu ilibidi waishie kuchungulia kwa mbali[emoji16][emoji16][emoji16]!
Namtakia kheri Lissu huko aliko,aachane na hizi maiti za Tanzania mpaka zitakapofufuka!