Kauli za Viongozi wa CHADEMA kila anayewakimbia wana mbeza ikome.

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,490
Reaction score
38,302
Heshima sana wanajamvi.

Imekuwa kawaida na utaratibu kila mwanachama au kiongozi wa CHADEMA anayeondoka kupewa majina mabaya ana tamaa,mamluki,wamenunuliwa,team Mbowe na nk.

Viongozi na wanachama wa kawaida wanaondoka wengi wametoa sababu mbali mbali nyingine zina mashiko na nyingine hazina mashiko.

NRNE imeleta mkanganyiko mkubwa ambao pengine kama Viongozi wa sasa wa CHADEMA wangeweza kuuelezea kwa ufasaha zaidi na namna bora ya kuzuia uchaguzi.

Namna bora ya kuzuia uchaguzi ni kushiriki uchaguzi.

Hii mipango ya Lissu ya kulala barabarani itashindwa vibaya sana kwasababu zifuatazo.

Mosi uchaguzi unatatajiwa kuhitimishwa mwezi October 2025.Mchakato wa uchaguzi unatarajiwa kuanza mwezi July mara baada ya bunge kuvunjwa.

Pili Kipindi cha kampeni nadhani ni siku tisini (90 days) vyama vilivyo sign kanuni za uchaguzi ndivyo vitakavyo ruhusiwa kufanya kampeni.

Tatu usipokuwa na WAGOMBEA Madiwani,Wabunge & Rais kipindi cha kampeni nani atazuia uchaguzi.WAGOMBEA ni watu muhimu wa kuongoza mashambuzi ya NO REFORM NO ELECTION.

Lissu na KAMATI KUU wanakosa mbinu bora na muhimu za kuzuia uchaguzi kwasababu wanafikiri wana akili kuliko WATANGANYIKA wote.

Kwa hakika Lissu anakwenda kukimaliza chama kwasababu ya kukosa maarifa na mikakati madhubuti na mahiri.

Tabia ya kuwabeza wale wote wanakikimbia chama na kuwapachika majina ya ajabu ajabu mtakuja kujuta mwezi November 2025.

Ruksa mapovu.

Ngongo Std 4B.
 
Unatoa ushauri huu ukiwa cdm au Chauma?
 
Mama kasema tuwe wazalendo

So kuwa mzalendo kwa kuheshimu mawazo na utashi wa watu wengine
 
Imekuwa kawaida na utaratibu kila mwanachama au kiongozi wa CHADEMA anayeondoka kupewa majina mabaya ana tamaa,mamluki,wamenunuliwa,team Mbowe na nk.
Dogo,
Mbona inajulikana tayari?!!
 
Unataka wamsifie ili iweje? Hiyo nikawaida kabisa lazima ubezwe maana ushakua muasi wa kambi.
 
Huu ni ukweli mchungu, ngoja wanaharakati waje kuvamia Uzi wakuite mwanaCHAUMMA au tem mbowe😀
Nilikuwa nafikiri uongozi mpya una mbinu na maarifa kumbe ZERO.

Ebu fikiria Ngongo wa darasa la 4B nimeweza kuona mapungufu makubwa nikiwa huku kijijini Mbigiri napalilia mpunga.
 
Heshima sana wanajamvi.

Imekuwa kawaida na utaratibu kila mwanachama au kiongozi wa CHADEMA anayeondoka kupewa majina mabaya ana tamaa,mamluki,wamenunuliwa,team Mbowe na nk.

Viongozi na wanachama wa kawaida wanaondoka wengi wametoa sababu mbali mbali nyingine zina mashiko na nyingine hazina mashiko.

NRNE imeleta mkanganyiko mkubwa ambao pengine kama Viongozi wa sasa wa CHADEMA wangeweza kuuelezea kwa ufasaha zaidi na namna bora ya kuzuia uchaguzi.

Namna bora ya kuzuia uchaguzi ni kushiriki uchaguzi.

Hii mipango ya Lissu ya kulala barabarani itashindwa vibaya sana kwasababu zifuatazo.

Mosi uchaguzi unatatajiwa kuhitimishwa mwezi October 2025.Mchakato wa uchaguzi unatarajiwa kuanza mwezi July mara baada ya bunge kuvunjwa.

Pili Kipindi cha kampeni nadhani ni siku tisini (90 days) vyama vilivyo sign kanuni za uchaguzi ndivyo vitakavyo ruhusiwa kufanya kampeni.

Tatu usipokuwa na WAGOMBEA Madiwani,Wabunge & Rais kipindi cha kampeni nani atazuia uchaguzi.WAGOMBEA ni watu muhimu wa kuongoza mashambuzi ya NO REFORM NO ELECTION.

Lissu na KAMATI KUU wanakosa mbinu bora na muhimu za kuzuia uchaguzi kwasababu wanafikiri wana akili kuliko WATANGANYIKA wote.

Kwa hakika Lissu anakwenda kukimaliza chama kwasababu ya kukosa maarifa na mikakati madhubuti na mahiri.

Tabia ya kuwabeza wale wote wanakikimbia chama na kuwapachika majina ya ajabu ajabu mtakuja kujuta mwezi November 2025.

Ruksa mapovu.

Ngongo Std 4B.
Usitufokee.
Kama hautaki majina mabaya acha siasa
 
Mapovu ndiyo haya uliyotoa, haya kasukutue maji sasa. Umeshiba ubwabwa wa Chaumma haya ya Chadema hayakuhusu na usiwapangie jinsi ya kuafanya siasa nyie kama yamewashinda mumepata chaka lenu endeleeni kivyenu.
 
Kila mwana mboga mboga huwa anaongelea kuzuia uchaguzi kama agenda,,,, mbona hamuongelei reforms ?🗑
Reforms ni muhimu sana uchaguzi wa 2019,2020 & 2024 uliibwa.Hapakuwa na uchaguzi labda tuseme kulikuwa na uchafuzi.

Ukipenda mjadala toka nje ya box usikimbilie siasa nyepesi.
 
Kwa maono yako hakuna haja ya reforms ? Khs wanaohama kudhihakiwa ama kutwezwa/kutukanwa hio weka pembeni, kila mtu ana mentality yake na personality yake
 
Uhalisia wa usemacho unakataa.
Una miaka 14 hapa JF unaonekana kama mtu makini na mwenye uelewa mkubwa.

Naomba kwa heshima na taadhima nieleweshe namna uchaguzi utakavyozuiliwa.
 
No reform No election inatosha kuzuia uchaguzi, we were unataka mbinu gani za kuzuia uchaguzi upewe, au wewe unataka watu waende kuuwawa na kuvunjwa mikono na miguu, na wakapotezwe.? Haya waliingia kwenye uchaguzi 2019,2020,2024 walipata nini?
 
Una miaka 14 hapa JF unaonekana kama mtu makini na mwenye uelewa mkubwa.

Naomba kwa heshima na taadhima nieleweshe namna uchaguzi utakavyozuiliwa.
Kwa kuukatalia hata watu kutojitokeza kushiriki, watakaoweza wafanye fujo. Ili mradi iwe wazi kuwa kinachofanyika ni uhuni. Ww unataka ufanyike kwa maana ya kwamba unaona uchaguzi unaheshimiwa?
 
Back
Top Bottom