Kauli za Viongozi wa CHADEMA kila anayewakimbia wana mbeza ikome.

Kwa maono yako hakuna haja ya reforms ? Khs wanaohama kudhihakiwa ama kutwezwa/kutukanwa hio weka pembeni, kila mtu ana mentality yake na personality yake
Reforms ni lazima lakini lazima maarifa yatangulie mbele na si vinginevyo.

Uongozi mpya ulikuja na kauli nyingi za kuonyesha uongozi wa zamani ulishindwa,ulikuwa legelege,ulilamba asali lakini ninachokiona sasa ni uongozi uliokosa maarifa,uliojaa jazba,uliokataa kutumia akili badala yake unapigania jambo au masuala yasiyotekelezeka katika mazingira yetu ya sasa.
 
No reform No election inatosha kuzuia uchaguzi, we were unataka mbinu gani za kuzuia uchaguzi upewe, au wewe unataka watu waende kuuwawa na kuvunjwa mikono na miguu, na wakapotezwe.? Haya waliingia kwenye uchaguzi 2019,2020,2024 walipata nini?
Kushiriki uchaguzi unakuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kuzuia uchaguzi.
 
Usitufokee.
Kama hautaki majina mabaya acha siasa
Sijaona hata mchangiaji mmoja aliyeweza kubainisha namna mtakavyozuia uchaguzi.

Nasema tena na tena njia bora na sahihi ya kuzuia uchaguzi ni kushiriki uchaguzi.

Wagombe UDIWANI,UBUNGE & Rais watakuwa na nafasi katika nzuri ya kuzuia uchaguzi kuanzia wakati wa kuchukua form,Kampeni & Mawakala.

Unazuiaje uchaguzi wakati huna WAGOMBEA utakuwa unazuia nini !.

Unazuaje uchaguzi wakati huna MAWAKALA katika vituo vya kupigia kura no coordination....

Hivi WATANGANYIKA mbona tuna akili ndogo sana.
 
HAWAWEZI kuacha kwasababu HAKUNA watu wana roho mbaya kama wanachama wa Chadema. Nafikiri roho mbaya ni sifa namba moja ya kuwa mwanachama wa Chadema.
 
HAWAWEZI kuacha kwasababu HAKUNA watu wana roho mbaya kama wanachama wa Chadema. Nafikiri roho mbaya ni sifa namba moja ya kuwa mwanachama wa Chadema.
Hoja muhimu hapa ni namna bora na sahihi ya kuzuia uchaguzi.

Ningependa kuzuia kwasababu wananchi wameporwa haki ya kuchagua viongozi wanaowataka.

Ili tuzuie uchaguzi ni lazima tutumie akili na maarifa hasa tukizingatia mazingira yetu na siasa zetu.

Nafahamu Kamati kuu ya CHADEMA ilikutana siku za karibuni.Nilitarajia Kamati kuu kuja na plan A & B.

Hizi habari za kuhujumiwa ni jambo la kawaida katika siasa za kiafrika hakuna jambo jipya.

Akili kubwa ni kuwa na mipango makini ya kuhakikisha UCHAGUZI haufanyiki bila marekebisho makubwa.

Hizi habari za kulala barabarani hakika hazitafanikiwa hata kidogo.
 
Kila mwana mboga mboga huwa anaongelea kuzuia uchaguzi kama agenda,,,, mbona hamuongelei reforms ?🗑
Civid 19 nilishauri sikusikilizwa mwezi ujao wanamaliza muda wao mjengoni na watavuta kitita cha ukweli.
 
Hakuna namna yoyote ya Chadema kuzuia Uchaguzi Mkuu usifanyike. HAKUNA!
 
Sawa, waambie nao wanapoondoka wafunge midomo yao ili twende sawa.
 
Kuzuia uchaguzi kunataka akili zaidi sio mihemko.
 
wamesema wataandamana, lakini cha kusikitisha hata yakitangaziwa hakuna atakaetoka.
 
wamesema wataandamana, lakini cha kusikitisha hata yakitangaziwa hakuna atakaetoka.
Mazingira ya kuandamana na kuzuia uchaguzi hayapo pasipo CHADEMA kushiriki uchaguzi.

Nguvu ya kupamba na wasimamizi wa uchaguzi iwe kubwa na yapamoja.

Blah blah za kulala barabarani ni ujinga wa kiwango cha kushangaza.
 
Tatizo linakuja pale vijana wafata upepo wa Chadema huwa wanajiona wana akili sana na wengine wote ni wapumbavu
 
Mazingira ya kuandamana na kuzuia uchaguzi hayapo pasipo CHADEMA kushiriki uchaguzi.

Nguvu ya kupamba na wasimamizi wa uchaguzi iwe kubwa na yapamoja.

Blah blah za kulala barabarani ni ujinga wa kiwango cha kushangaza.
CHADEMA hawajawahi kusema watalala barabarani, HEBU tujipe muda
 
Ni madhara ya kuruhusu minyoo iote na kutawala ubongo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…