Kauli zao zinapoteza matumaini mengi ya wengi

Ni kweli. Serikali inabidi wawe macho kwenye hili. Naomba nipigie kura kiongozi, pia usiache kulike hapo mwisho wa hiyo habari
Mwalimu analilia ajira akipata akipangiwa buhigwe anaanza kutafuta uhamisho arudi dar au karibu na dar ndo maana utakuta wanajazana mjini wakipangiwa vijijini wanakimbia kwa style hyo hatuwezi ku solve tatizo la ajira na uhaba wa walimu kwa ujumla.
 
Mungu mkubwa. Naomba kura Yako ndugu,pia usisahau kulike hapo chini
 
Ni kweli kabisa. Ndiyo maana hawaoni maumivu ya fukara kama sisi,ambao wazazi wanaumia huku
 
dunia ya leo sio ya kufundishana Mambo ya historia za mkwawa ,ni dunia ya sayansi ,muwe mnawa3lekeza watt wasome masomo ya sayansi ,tatzo wengi wanaona sifa kukimbilia chuo kukuu halafu course ni buchela ya ualimu art [emoji28],si bola angeenda veta akachukie ujuzi wa kujiajiri.
 
Safi sana
 
Yeah! Nepotism... kama unaona mafekeche yanaweza kufanyika,ni kusoma tu.Kwa MAMA,mianya mingi
Kabisa Yani. Naomba tumpigie kura hapo ndugu yetu tonytz na kulike hapo chin. Pia ameandika nyingine ( tudumishe kiswahili Kwa maendeleo endelevu na nyenzo ya kudai haki 2. Jicho la wataalamu wa elimu katika mitaala ya elimu. Search Kwa kuyandika vichwa hivyo,utaletewa habari nzima,isome Kisha comment,like na vote Kwa kumsupport.
 
Kabisa yani
 
Nawashukuru Kwa support zenu. Naomba mzidi kunipigia kura na likes zenu
 
Sawa. Ni mawazo Yako mkuu. Nayapokea. Lakini je unaamini kama watu wote wanauwezo wa kusoma masomo ya sayansi?
 
Mjiajiri muwe wabunifu ili kuishi sasa mtabaki mnalialia hamna ajira kwani ni ninyi tu mnaoiahi hapa Tanzania? Undeni hata kikundi mkae mjiulize mfanyaje
 
Mjiajiri muwe wabunifu ili kuishi sasa mtabaki mnalialia hamna ajira kwani ni ninyi tu mnaoiahi hapa Tanzania? Undeni hata kikundi mkae mjiulize mfanyaje
Shukrani Kwa ushauri mzuri. Walengwa tunaupokea. Ila kinachotesa ni historian tofauti za maisha, Kuna wakati hata vikundi mnakuwa navyo ila miongoni mwa demand kuwa ni money capital.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…