Kauli zinazoonyesha unayeongea naye ana matatizo ya akili

Kauli zinazoonyesha unayeongea naye ana matatizo ya akili

So ukijibu tuu unaachwa?

Swali rahisi sana hasa hasa hawa walokole wanaliwa mno kwa hili swali lao la kijinga๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Huwa nalijibu,nikikutana nalo huwa nashtuka kinachofuata baada ya hapo ni uwongo mwingi๐Ÿ˜ƒ
 
"UMENIPENDEA NINI"

Hapo ujue huyo demu sio kichaa tuu bali ni taahira
Nimekupenda sababu youโ€™re smart, funny and exceptional beautiful

utaskia linajibu โ€œawwwโ€ kama mbwa... inakuwa imeisha hiyo
 
Nimekupenda sababu youโ€™re smart, funny and exceptional beautiful

utaskia linajibu โ€œawwwโ€ kama mbwa... inakuwa imeisha hiyo
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mwambaa๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Nimekupenda sababu youโ€™re smart, funny and exceptional beautiful

utaskia linajibu โ€œawwwโ€ kama mbwa... inakuwa imeisha hiyo
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mwambaa๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
"NITUMIE BASI PICHA ZAKO!!"
Hii ndio kauli pekee Ambayo mwanamke anajua kabisa anatongozwa na chizi!!
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Hahahaa Bujibuji weeee
Kuna muda unaweza kujuta hata kufahamiana na huyo chizi๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Hata vichaa hua wanatuona sisi wenye akili kua ndio vichaa na wao sio vichaa,ni jambo la kawaida,sishangai.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani mimi ni nani yako.....??

TAKATAKA kabisa.
 
Back
Top Bottom