Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,934
- 10,206
Hapo unaona kabisa channel hazisomi"mai umekula?...usishinde njaa pulizi".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo unaona kabisa channel hazisomi"mai umekula?...usishinde njaa pulizi".
Hapo unajua kabisa mtandao haupoMimi ni girlfriend wako wa ngapi?
Nishaulizwaga hili swali na chiz mmoja hivi nikamjibu vizuri tuu,Mimi ni mpenzi wako wa ngapi?
Kabla ya kuwa na mimi umekuwa na wapenzi wangapi kabla yangu?
Mi kuna bwege nilimuuliza (tukiwa restaurant tunapata lunch) mbona sijakusikia ukiwauliza wahudumu kwamba mimi ni mteja wa ngapi kutumia vyombo hivi tangu viliponunuliwa?Nishaulizwaga hili swali na chiz mmoja hivi nikamjibu vizuri tuu,
Eti likauliza tena mbn ww huniulizi swali kama hilo nikalijibu sina ajira za kuwapa ndio maana siwaulizi