Kauli zinazoonyesha unayeongea naye ana matatizo ya akili

Kauli zinazoonyesha unayeongea naye ana matatizo ya akili

Nitumie na ya kutolea yaan ukishasema hivi najua hapa bando limeisha network ishakata hapo utapigwa virungu hadi ukome
 
Unakuta yuko busy kupost status halafu wewe hata salamu hakuna...yaani huyo itaisha week hapati salamu yangu
 
  • Kauli zote za Kingwa ngwala
  • Kauli zote za Nepi Ninaye
  • Kauli zote za Magulu made loo Chemba
  • Kauli zote za Chale ni Mila
 
Umekata nywele halafu mtu anakuuliza,
"Umekata nywele?"

Unamjibu,
"Hapana nimebadili Kichwa"
 
Mimi ni mpenzi wako wa ngapi?
Kabla ya kuwa na mimi umekuwa na wapenzi wangapi kabla yangu?
 
Back
Top Bottom