Kauli zinazoonyesha unayeongea naye ana matatizo ya akili

So ukijibu tuu unaachwa?

Swali rahisi sana hasa hasa hawa walokole wanaliwa mno kwa hili swali lao la kijingaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huwa nalijibu,nikikutana nalo huwa nashtuka kinachofuata baada ya hapo ni uwongo mwingiπŸ˜ƒ
 
"UMENIPENDEA NINI"

Hapo ujue huyo demu sio kichaa tuu bali ni taahira
Nimekupenda sababu you’re smart, funny and exceptional beautiful

utaskia linajibu β€œawww” kama mbwa... inakuwa imeisha hiyo
 
Nimekupenda sababu you’re smart, funny and exceptional beautiful

utaskia linajibu β€œawww” kama mbwa... inakuwa imeisha hiyo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mwambaaπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Nimekupenda sababu you’re smart, funny and exceptional beautiful

utaskia linajibu β€œawww” kama mbwa... inakuwa imeisha hiyo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mwambaaπŸ™ŒπŸ™Œ
 
"NITUMIE BASI PICHA ZAKO!!"
Hii ndio kauli pekee Ambayo mwanamke anajua kabisa anatongozwa na chizi!!
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

Hahahaa Bujibuji weeee
Kuna muda unaweza kujuta hata kufahamiana na huyo chiziπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hata vichaa hua wanatuona sisi wenye akili kua ndio vichaa na wao sio vichaa,ni jambo la kawaida,sishangai.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani mimi ni nani yako.....??

TAKATAKA kabisa.
 
Libido inaondoa akili za vijana wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…