Nishaulizwaga hili swali na chiz mmoja hivi nikamjibu vizuri tuu,
Eti likauliza tena mbn ww huniulizi swali kama hilo nikalijibu sina ajira za kuwapa ndio maana siwaulizi

Mi kuna bwege nilimuuliza (tukiwa restaurant tunapata lunch) mbona sijakusikia ukiwauliza wahudumu kwamba mimi ni mteja wa ngapi kutumia vyombo hivi tangu viliponunuliwa?