Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Kabisa boss, kukaa na pesa ya mtu miezi 4 ndio imezaa hiyo riba kubwa.Sasa si na riba juuu hapo yani mtu akuuzie kitu unalipa kidogo kidogo miezi 4 bado unalalamika kama ulikuwa na uhitaji ungeenda mwenyewe kuitafuta huko mlimani city kabla.
Kabisabora kununua mpya
Daah...hao Jamaa bhana!!Sasa huo si mkopo mkuu, 140,000 kwa 300,000 ni halali ila tu hakikisha unamaliza deni lao ndani ya mwaka mmoja au zaidi ili wote mnufaike,kwani ukiwa mkali ni waoga sana wa polisi,wewe wakikuzengua waambie mwende mahakamani,tambua hao watu ni wakwepa kodi,hivyo hawawezi kukubali polisi au mahakamani hawana pa kukupeleka hao.
Mimi ndani mwangu nina vitu vyao vingi,juzi wameniuzia oveni kwa sh 420,000 wakati dukani ina 200,000,nimekaa nayo miezi mitatu bila kulipia,mwezi huu ndo nimewalipa,ninampango wa kumaliza kulipa deni mwaka kesho mwezi wa 12 ilikhali tulielewana mwezi wa kumi na mbili mwaka huu.
Hao Jamaa naskia hawakubali cash!Ukishaambiwa mkopo jua bei itakuwa juu zaidi. Unapaswa kuuliza cash ni kiasi gani ili upime gharama ya ww kuchukua kwa mkopo.
Hapo ni kuamua kusuka au kunyoacash 200 tu
Colateral ni nini?Hao Jamaa naskia hawakubali cash!
Ukitaka kuwapa cash wanakataa, kwamba wanataka ukae na bidhaa angalao mwezi mmoja ndio hapo wanapumguza kidogo!
Yote hayo ya nini ?..Sasa huo si mkopo mkuu, 140,000 kwa 300,000 ni halali ila tu hakikisha unamaliza deni lao ndani ya mwaka mmoja au zaidi ili wote mnufaike,kwani ukiwa mkali ni waoga sana wa polisi,wewe wakikuzengua waambie mwende mahakamani,tambua hao watu ni wakwepa kodi,hivyo hawawezi kukubali polisi au mahakamani hawana pa kukupeleka hao.
Mimi ndani mwangu nina vitu vyao vingi,juzi wameniuzia oveni kwa sh 420,000 wakati dukani ina 200,000,nimekaa nayo miezi mitatu bila kulipia,mwezi huu ndo nimewalipa,ninampango wa kumaliza kulipa deni mwaka kesho mwezi wa 12 ilikhali tulielewana mwezi wa kumi na mbili mwaka huu.
Slogan yangu siku zote ni:mambo ya kihuni humalizwa kihuni
Walimu mna shida sana, kila kitu mnakopaSasa huo si mkopo mkuu, 140,000 kwa 300,000 ni halali ila tu hakikisha unamaliza deni lao ndani ya mwaka mmoja au zaidi ili wote mnufaike,kwani ukiwa mkali ni waoga sana wa polisi,wewe wakikuzengua waambie mwende mahakamani,tambua hao watu ni wakwepa kodi,hivyo hawawezi kukubali polisi au mahakamani hawana pa kukupeleka hao.
Mimi ndani mwangu nina vitu vyao vingi,juzi wameniuzia oveni kwa sh 420,000 wakati dukani ina 200,000,nimekaa nayo miezi mitatu bila kulipia,mwezi huu ndo nimewalipa,ninampango wa kumaliza kulipa deni mwaka kesho mwezi wa 12 ilikhali tulielewana mwezi wa kumi na mbili mwaka huu.
Slogan yangu siku zote ni:mambo ya kihuni humalizwa kihuni
Daah simu za mkopo nilienda Duka la Airtel Samsung A53 kwa bei ya mkopo na kulipa kidogo kidogo kwa miezi 12 jamaa wanachukua 500,000!!!Ni sawa hakuna shida.
Kama simu za mkopo tu
Kawaida sana...Ndio lazima alipe!
Alijichanganya kutoulizia mapema sehemu mbiltatunne akalinganisha bei