Kauziwa rice cooker Tsh. 300,000 na Waturuki, kaikuta inauzwa Tsh. 140,000 Mlimani City. Anawaza amalizie hela yao ama?

Daah simu za mkopo nilienda Duka la Airtel Samsung A53 kwa bei ya mkopo na kulipa kidogo kidogo kwa miezi 12 jamaa wanachukua 500,000!!!
Kariakoo kila mtu ana bei yake.

Bei ya. Cash inauzwa shngap?
 
Nilimshauri amshukuru kulpa miezi minne ila badoo washenzi wanapigaa aisee kha m sinunuagi kabisaa kwao.
Nilimshauri amshukuru kulpa miezi minne ila badoo washenzi wanapigaa aisee kha m sinunuagi kabisaa kwao.
Ndio wanapiga maana na wao wanahitaji pesa ya ziada na kwa dizain hiyo ndio wanajipatia chochote kitu kutunza familia zao
 
Haya hongera kwako msomi maana mkishakuwa na videgree mnajikuta mmemaliza kila kitu na kudharau watu, mtaani hakuitaji usomi ni akili mtu wangu na fulsa tu endelea kuwa msomi
 
Sasa na wewe si mshauriane tu na shoga wako huko? Sisi wanaume haya mambo tunayajulia wapi? Siku nyingine mzunguke wote kutafuta. Au ndo wanawake hampendani? Ukute hapo unafurahia hilo jambo. Joannah njoo umsome huyu mdada hapa
 
Kapigwa na kitu kizima huyo na waturuki!🤭🤭🤭🤭 Lazima amalize deni!
 
Halafu huyo mwandishi ujue ni wa Kiume.?yaani jinsi alivyoandika ni kafurahi kishenzy
 
Sasa si na riba juuu hapo yani mtu akuuzie kitu unalipa kidogo kidogo miezi 4 bado unalalamika kama ulikuwa na uhitaji ungeenda mwenyewe kuitafuta huko mlimani city kabla.
Mimi Mambo ya kukopa vyombo naona kujitia umaskini tu,,yaani vyombo vya kukopa kweli
 
Hao na hizi simu za mkopo hawana utofauti
 
Unakopeshwa kwa kuaminiwa tu au wanatumia nini ili usikimbie bila kulipa?
 
Walikuja kazini wakakopesha blander zinatwa silver crest kwa laki tatu mm nikasema hapana, nikaja zunguka madukani bei halisi ni 130000 na sasa hv zimeshuka hadi 75
 
Kapigwa na kitu kizima huyo na waturuki!🤭🤭🤭🤭 Lazima amalize deni!
Hahahahaaaaaaa kaukalia nawaza gafla kimegoma kuwaka hahaha na warrantee ipo sijui atawapigia
Kwikwi
 
wale nahisi wanaloga wakifika mitaani yaan kila wanaemgusa mwenyedukani wanabeba vitu kujakuhamaki too lte...

hivi majuzi jamaa anasema dhbwasha aliwaki nkachekaaaa nkamwambia lina gprs wamelizima nn wanasubiri fundi jtatu

kichekechooo lina warrantee jamaa wanawaza wanaanzaje kuwapigi wturuki hahahahahaha napitatu
 
Mimi Mambo ya kukopa vyombo naona kujitia umaskini tu,,yaani vyombo vya kukopa kweli
Hii nchi ina watu maskini sana wa kipato na akili
How.comes mtu anakopa vyombo ?
Dah aibu hii.
Yaani kuna vitu navisomaga huku mitandaoni mashangaa sana .
Kutoka.maisha yangu nishawahi kukopa.pesa benki na Kwenye Saccos ya ofisini basi.
Kuna jamaa namfahamu yeye anakopa bia namshangaaga sana huyo mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…