Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Amepigwa kwa uzembe wakeKawaida sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amepigwa kwa uzembe wakeKawaida sana...
Kariakoo kila mtu ana bei yake.Daah simu za mkopo nilienda Duka la Airtel Samsung A53 kwa bei ya mkopo na kulipa kidogo kidogo kwa miezi 12 jamaa wanachukua 500,000!!!
Nilimshauri amshukuru kulpa miezi minne ila badoo washenzi wanapigaa aisee kha m sinunuagi kabisaa kwao.
Ndio wanapiga maana na wao wanahitaji pesa ya ziada na kwa dizain hiyo ndio wanajipatia chochote kitu kutunza familia zaoNilimshauri amshukuru kulpa miezi minne ila badoo washenzi wanapigaa aisee kha m sinunuagi kabisaa kwao.
Riba ipi ya 120% Kwa mwezi? Kuna sheria ipi inaruhusu riba ya hivyo?
Angekataa tu kwani alilazimishwa kuchukuaRiba ipi ya 120% Kwa mwezi? Kuna sheria ipi inaruhusu riba ya hivyo?
Haya hongera kwako msomi maana mkishakuwa na videgree mnajikuta mmemaliza kila kitu na kudharau watu, mtaani hakuitaji usomi ni akili mtu wangu na fulsa tu endelea kuwa msomiWapumbavu hao achana nao. Watu hawana hata elimu ya uchumi basi japo wajue maana ya interest rates limits allowed by law, wajue effects za overpriced products kwenye uchumi na money inflation, wajue hata fraudulent activity kwenye biashara, hakuna wanalojua ni kubungua tu maneno wasiyojua yanawapeleka wapi.
Sasa na wewe si mshauriane tu na shoga wako huko? Sisi wanaume haya mambo tunayajulia wapi? Siku nyingine mzunguke wote kutafuta. Au ndo wanawake hampendani? Ukute hapo unafurahia hilo jambo. Joannah njoo umsome huyu mdada hapaJamani mji mtamu huuu acha tu, kuna waturuki wanapita majumbani mwa watu.
Sasa mdada mmoja hamad akapenda rice cooker inapika na nyama nk, akambiwa laki 3 kwa mariposa ya miezi 4.
Majuzi kapita mlimani City kakita ile ile 140,000 kilichomsaidia alipiga tu picha na bei iendelèe kumuumiza.
Jana anauliza nifanyeje bro, nkamjibu malizia kulipa alafu mwonyeshe hio picha na bei yake umshukuru kwa kukupa miezi 4, bado kidogo anitupie chupa ya Fanta hhahahaa!
Kapigwa na kitu kizima huyo na waturuki!🤭🤭🤭🤭 Lazima amalize deni!Jamani mji mtamu huuu acha tu, kuna waturuki wanapita majumbani mwa watu.
Sasa mdada mmoja hamad akapenda rice cooker inapika na nyama nk, akambiwa laki 3 kwa mariposa ya miezi 4.
Majuzi kapita mlimani City kakita ile ile 140,000 kilichomsaidia alipiga tu picha na bei iendelèe kumuumiza.
Jana anauliza nifanyeje bro, nkamjibu malizia kulipa alafu mwonyeshe hio picha na bei yake umshukuru kwa kukupa miezi 4, bado kidogo anitupie chupa ya Fanta hhahahaa!
Halafu huyo mwandishi ujue ni wa Kiume.?yaani jinsi alivyoandika ni kafurahi kishenzySasa na wewe si mshauriane tu na shoga wako huko? Sisi wanaume haya mambo tunayajulia wapi? Siku nyingine mzunguke wote kutafuta. Au ndo wanawake hampendani? Ukute hapo unafurahia hilo jambo. Joannah njoo umsome huyu mdada hapa
Mwanaume hawezi kuwa hivi aiseee ... Hiki kizazi kina nini? Mwanaume anawezaje andika jambo kama hili?Halafu huyo mwandishi ujue ni wa Kiume.?yaani jinsi alivyoandika ni kafurahi kishenzy
Dunia imebadilika sana wanaume wamekuwa tofauti sana na wa kaleMwanaume hawezi kuwa hivi aiseee ... Hiki kizazi kina nini? Mwanaume anawezaje andika jambo kama hili?
Mimi Mambo ya kukopa vyombo naona kujitia umaskini tu,,yaani vyombo vya kukopa kweliSasa si na riba juuu hapo yani mtu akuuzie kitu unalipa kidogo kidogo miezi 4 bado unalalamika kama ulikuwa na uhitaji ungeenda mwenyewe kuitafuta huko mlimani city kabla.
Kabisa. Zaman sisi tunakua usingeweza kuta vitu kama hivi.Dunia imebadilika sana wanaume wamekuwa tofauti sana na wa kale
Unakopeshwa kwa kuaminiwa tu au wanatumia nini ili usikimbie bila kulipa?Mikopo ina riba hasaa. Kuna hawa wakopesha simu simu ya lak mbili mtu analipa lak 5. Kuna sehemu kuna atm ya crdb pembeni wana kiofisi chao kila nikienda atm wananiita bro bro njoo ukope simu. Mimi jibu langu nawambia kwani nyie hamwoni nimeshika simu mkononi.
Sema wabongo si waaminifu lazima.uweke riba kubwa kulipia watakaokutapeli
Kwani Chizi wewe ni muhenga?Kabisa. Zaman sisi tunakua usingeweza kuta vitu kama hivi.
Kabisa. Mimi ndo Mtema Kuni. Ule msemo wa ATAKIONA CHA MTEMA KUNI. So ni wa zamani sana.Kwani Chizi wewe ni muhenga?
Hii nchi ina watu maskini sana wa kipato na akiliMimi Mambo ya kukopa vyombo naona kujitia umaskini tu,,yaani vyombo vya kukopa kweli