johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Karibu Kawe bwashee, Pascal Mayalla atakuwepo pia kuonyesha support!Gwajima aka mchungaji mla kondoo,mtumishi wa Mungu aliyehai ambaye Sasa Mungu amedemote, hawezi kusimamisha chochote zaidi ya mkuyenge.
Leo ndio Halima Mdee atajua kuwa hajui.
Ni kampeni za kishindo katika viwanja vya Tanganyika packers Kawe ambazo zitatanguliwa na maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote vya Dsm ya kumuunga mkono Dr Magufuli.
Halima Mdee lazima akae Dr Magufuli 5 tena!
Maendeleo hayana vyama!
Hhahahhha Gwajima hawezi isimamisha kawe inamchora tuLeo ndio Halima Mdee atajua kuwa hajui.
Ni kampeni za kishindo katika viwanja vya Tanganyika packers Kawe ambazo zitatanguliwa na maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote vya Dsm ya kumuunga mkono Dr Magufuli.
Halima Mdee lazima akae Dr Magufuli 5 tena!
Maendeleo hayana vyama!
Karibu packers bwashee!Hhahahhha Gwajima hawezi isimamisha kawe inamchora tu
Angeisimamisha kawe yeye mwenyewe bila hao wasanii ndo tungeona umwamba wakeLeo ndio Halima Mdee atajua kuwa hajui.
Ni kampeni za kishindo katika viwanja vya Tanganyika packers Kawe ambazo zitatanguliwa na maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote vya Dsm ya kumuunga mkono Dr Magufuli.
Halima Mdee lazima akae Dr Magufuli 5 tena!
Maendeleo hayana vyama!
yaani gear ya wasanii kwa wakazi wa Kawe? Gwajima & co watakuwa hawatujui sawasawa.Leo ndio Halima Mdee atajua kuwa hajui.
Ni kampeni za kishindo katika viwanja vya Tanganyika packers Kawe ambazo zitatanguliwa na maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote vya Dsm ya kumuunga mkono Dr Magufuli.
Halima Mdee lazima akae Dr Magufuli 5 tena!
Maendeleo hayana vyama!
Ni tamasha jingine la muziki hilo asisahau nyimbo za Rose Mhando pia.Leo ndio Halima Mdee atajua kuwa hajui.
Ni kampeni za kishindo katika viwanja vya Tanganyika packers Kawe ambazo zitatanguliwa na maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote vya Dsm ya kumuunga mkono Dr Magufuli.
Halima Mdee lazima akae Dr Magufuli 5 tena!
Maendeleo hayana vyama!
Tasa wenu wa maendeleo kabaki kuwa lipicha.Wana Kawe msidanganyike
Wasomi wa jalalani sio?Leo ndio Halima Mdee atajua kuwa hajui.
Ni kampeni za kishindo katika viwanja vya Tanganyika packers Kawe ambazo zitatanguliwa na maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote vya Dsm ya kumuunga mkono Dr Magufuli.
Halima Mdee lazima akae Dr Magufuli 5 tena!
Maendeleo hayana vyama!
Wana Kawe katika Umoja wetu, tulishaamua siku nyingi kabla kuwa miaka kumi ya Halima, inatosha.Leo ndio Halima Mdee atajua kuwa hajui.
Ni kampeni za kishindo katika viwanja vya Tanganyika packers Kawe ambazo zitatanguliwa na maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote vya Dsm ya kumuunga mkono Dr Magufuli.
Halima Mdee lazima akae Dr Magufuli 5 tena!
Maendeleo hayana vyama!
Vyuo vikuu vimefungwa wanafunzi tuko mikoani punguza ushabiki maandazi.Leo ndio Halima Mdee atajua kuwa hajui.
Ni kampeni za kishindo katika viwanja vya Tanganyika packers Kawe ambazo zitatanguliwa na maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote vya Dsm ya kumuunga mkono Dr Magufuli.
Halima Mdee lazima akae Dr Magufuli 5 tena!
Maendeleo hayana vyama!
Tasa wenu wa maendeleo kabaki kuwa lipicha.