Uchaguzi 2020 Kawe: Askofu Gwajima (CCM) atakuwa Tanganyika Packers na kundi la wasomi na wasanii wote wa Dar

Uchaguzi 2020 Kawe: Askofu Gwajima (CCM) atakuwa Tanganyika Packers na kundi la wasomi na wasanii wote wa Dar

Kawe: Askofu Gwajima (CCM) atakuwa Tanganyika Packers na kundi la wasomi na wasanii wote wa Dar

Eti umesema wasanii wote watakuwepo? Kwa hiyo ni Fiesta jama kawaida eeh!!!
Bila wasanii, mambo yanaweza yakawa hivi...

CCMkapmeni.jpeg

Hapa wasanii waliingia mitini!
 
Naomba niwape taarifa kuwa KIGOGO ndio binadamu wa kwanza kupata Taarifa yoyote nchi hii ukiacha walioshiriki tu kweny hyo taarifa.
Hii habari niliona jana amepost.
 
MaCCM mnatia huruma sana.

imefika hatua inabidi mkusanye watu amabao sio wapiga kura wa Kawe ili kumfariji Porn Star.

Cha msingi huyo Gwajima ajiandae kurudu kuendelea kutafuna kondoo zake.
 
Kazi kweli kweli. kijiwe kigumu kawe.lakini kwa miujiza ya CCM naye hata Askofu anaweza kupita.

Wakuu mtanisamehe kwa kupachika

Kwa mtindo huu wa kutongoza wafuasi wa Askofu katika mchakato wa kisiasa nchini ilimradi tu upate kura ni sawa na rushwa ya ubongo
 
Mwana kawe atakayempa kura gwajima haipendi kawe.Kawe sio ya kuongozwa na anayejiita askofu tapeli
 
Wanafunzi wa Vyuo vikuu wako likizo na wametawanyika. Hao waanaoenda kuandamana wanatokea wapi?
 
MaCCM mnatia huruma sana.

imefika hatua inabidi mkusanye watu amabao sio wapiga kura wa Kawe ili kumfariji Porn Star.

Cha msingi huyo Gwajima ajiandae kurudu kuendelea kutafuna kondoo zake.
Askofu hawezi kufanya upuuzi wa kucheza porn,mnajua anamuondoa huyu msagaji ndio mnaleta uzushi.
IMG_20200923_134449.jpg
 
Sidhani kama watakuja kusikiliza sera za Gwajiboi....

Wasisitizieni wasanii kutoa shoo kali ili wakazi wa kawe wasiboreke.
 
Leo ndio Halima Mdee atajua kuwa hajui.

Ni kampeni za kishindo katika viwanja vya Tanganyika packers Kawe ambazo zitatanguliwa na maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote vya Dsm ya kumuunga mkono Dr Magufuli.

Halima Mdee lazima akae Dr Magufuli 5 tena!

Maendeleo hayana vyama!
Wasanii wote wa Dar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Tuje kucheza Disco?
 
Back
Top Bottom