Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Mimi kama kamanda ninayejitambua nataka mbunge wa kuleta maendeleo,sio harakati za kushinda mahakani. Namuunga mkono Gwajima.Leo ndio Halima Mdee atajua kuwa hajui.
Ni kampeni za kishindo katika viwanja vya Tanganyika packers Kawe ambazo zitatanguliwa na maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote vya Dsm ya kumuunga mkono Dr Magufuli.
Halima Mdee lazima akae Dr Magufuli 5 tena!
Maendeleo hayana vyama!