Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Mimi kama kamanda ninayejitambua nataka mbunge wa kuleta maendeleo,sio harakati za kushinda mahakani. Namuunga mkono Gwajima.Leo ndio Halima Mdee atajua kuwa hajui.
Ni kampeni za kishindo katika viwanja vya Tanganyika packers Kawe ambazo zitatanguliwa na maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote vya Dsm ya kumuunga mkono Dr Magufuli.
Halima Mdee lazima akae Dr Magufuli 5 tena!
Maendeleo hayana vyama!
Kale kavideo pendwa alikataa kuwa ule mkono aliokuwa akikandamizia si wake,ni wa baunsa.Kale ka video kataonyeshwa?
Wasanii wacheza kiduku na Askofu Gwajima, wapi na wapi? Askofu kapatwaLeo ndio Halima Mdee atajua kuwa hajui.
Ni kampeni za kishindo katika viwanja vya Tanganyika packers Kawe ambazo zitatanguliwa na maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote vya Dsm ya kumuunga mkono Dr Magufuli.
Halima Mdee lazima akae Dr Magufuli 5 tena!
Maendeleo hayana vyama!
Wewe umetafunwa na Halima Mdee?Mleta huu uzi atakua kondoo wa gwajima aliyetafunwa maana anaonekana Ana mahaba nae sana
tunajua toka jana Bashiru alitaka uvccm vyuoni kuandamana kumuungamkono magufuli na wanapewa poshoLeo ndio Halima Mdee atajua kuwa hajui.
Ni kampeni za kishindo katika viwanja vya Tanganyika packers Kawe ambazo zitatanguliwa na maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote vya Dsm ya kumuunga mkono Dr Magufuli.
Halima Mdee lazima akae Dr Magufuli 5 tena!
Maendeleo hayana vyama!
Utabiri unatimia sio?Leo ndio Halima Mdee atajua kuwa hajui.
Ni kampeni za kishindo katika viwanja vya Tanganyika packers Kawe ambazo zitatanguliwa na maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote vya Dsm ya kumuunga mkono Dr Magufuli.
Halima Mdee lazima akae Dr Magufuli 5 tena!
Maendeleo hayana vyama!
Wasanii njaa kali pia hawajitambuiLeo ndio Halima Mdee atajua kuwa hajui.
Ni kampeni za kishindo katika viwanja vya Tanganyika packers Kawe ambazo zitatanguliwa na maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote vya Dsm ya kumuunga mkono Dr Magufuli.
Halima Mdee lazima akae Dr Magufuli 5 tena!
Maendeleo hayana vyama!
Unamuuliza nani muulize Prime number HMHivi ungekua wewe ndio kiongozi wa upinzani ungefanya nini kwenye uongozi huu wa Magu
Wenzako wamelipwa kuandamana , wewe unasubiri nini .Leo ndio Halima Mdee atajua kuwa hajui.
Ni kampeni za kishindo katika viwanja vya Tanganyika packers Kawe ambazo zitatanguliwa na maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote vya Dsm ya kumuunga mkono Dr Magufuli.
Halima Mdee lazima akae Dr Magufuli 5 tena!
Maendeleo hayana vyama!
Tunaongelea Kawe.Hivi ungekua wewe ndio kiongozi wa upinzani ungefanya nini kwenye uongozi huu wa Magu