Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo mnachotafuta, ni haki yenu kukataa lakini haitamsimamisha Gwajima kutangazwa.Ni dhahiri sasa hakuna kukubali Matokeo
Huo ushahidi unapelekwa kwa nani? Huyo jamaa aliyekunja mikono hapo chini au?Sasa si wanaharibu ushahidi?
2020 - 2025 nchi haitawaliki, vyombo vya dola wanatakiwa wawemakini au lasivyo nchi inaharibika.
Wananchi wa kawe watazaa na huyo mcheza filamu za X wanaolazimishwa kupewa na CCM.
Utachomeje ushahidi. Nauliza tuHawakutakiwa kuzichona moto. Sasa unachona ushahidi
Mahakamani. Lile jimbo litaamuliwa mahakamani.Huo ushahidi unapelekwa kwa nani?Huyo jamaa aliyekunja mikono hapo chini au?View attachment 1614644
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Sasa weye huoni?Ndiyo mnachotafuta, ni haki yenu kukataa lakini haitamsimamisha Gwajima kutangazwa
Majizi wakubwa sanaWananchi wa Kawe wakichoma moto kura za maruhani zilizokuwa tayari zimeshapigwa kwa wagombea wa CCM. Mungu wabariki wananchi hawaView attachment 1614622
Mi hapa mkuu, kura zote kwa Mh Lissu na ChademaLeo ndio Tar.28 eeeh?
nani kapiga kura hapa?
Wacha masiharaUmeeka attachment..weka video mi sioni
Ni tapeli tuhuyu gwajima afu kesho-keshokutwa akahubiri kanisani. ujinga mtupu hawa wanaojiita watumishi wa mungu na makanisa yao.
Majizi wazoefuVisingizio na maigizo ruksa
Haya Ndiyo yamefanya wazima net
Elimu duniHawakutakiwa kuzichona moto. Sasa unachona ushahidi
Ha ha ha ha haaaaa zimeni na JFHabari za kipuuzi kama hizi zinafikaje jf