Uchaguzi 2020 Kawe kunani? Why is a hot cake? Wamejitokeza wagombea 176! What is so special ? Kuchinja watu 175 kubaki 1, is not a joke!.Je, atakuwa nani?

Naona idadi ya watia nia ni kubwa kuliko wapiga kura..kweli bunge la ndungai lilikua jepesi sana yaani mpaka machizi wanaona kua bungeni ni sawa na kua darasa la 3 mnajipigia makelele mtakavyo.
Usisahau watia nia nao ni wapiga kura vile vile... hivyo hawawezi kuwazidi wapiga kura waliotia nia pamoja na wasiotia nia kwa idadi
 
Hilo Jimbo kupata mshindi ni ngumu wataoenda KUPIGA Kula za maoni ni hao hao 176 wana kawe CCM hatuendi watagawana kura moja moja hao
Nahisi kuna mamluki, yaani kuna wamepewa ya kwenda kuchukua form na baadhi ya wagombea ili ikifika wakati kura za kupitisha mgombea mamluki wanampigia kura mhusika aliyewalipia fedha za kuchukua form. Kwa hiyo kuna uwezekano kabisa baadhi ya wagombea katika kura za maoni wanaweza wasipate hata kura moja kwa sababu watakuwa wametumika kumjazia kura mtu aliyewalipia kuzaja form.
 
Anatuhadaa tu mwamba Mbowe anakipeleka chama mrama lakini hawatwangwi popote pale. Sembuse awe Rais. Hata kuhoji matumizi ya fedha za chama wanahofu.
 
Kuna mtu akiitwa Furaha Toka Kanda ya ziwa anajinasibu eye katumwa na mkuu wa kaya kugombea.

Tungependa tuipate list hapa JF ili tuanze kuiangazia dunia kuwa inavyotaka.

Sarakasi zitapelekea Halima mdee kupita kwa ushindi ndogo waache wanganganie.
 
Sio Kawe tu, sehemu nyingi watu wamegundua CCM imesafishwa na JPM, hakuna longolongo. Mimi sina chama ila natamani kujiunga na CCM
 
Kawe yaweza ikawa ni mojawapo ya majimbo makubwa kwa hapo Dsm na pia ni jimbo wanapoishi 60% ya viongozi wa Serikali mashirika ya umma mabalozi nk ni jimbo nyeti zaidi na kuna uwezekano wa Gwajima kupitishwa kwa kuwa ni Msukuma na kama yupo Msukuma mwingine kwenye hao watia nia 175 basi huyo ndiye atakuwa kwenye top 3 zitazokwenda Dodoma kwenye mchujo wa fainali
 
Dr Mashinji atawafaa CCM kwa vile ana mbinu za kumkabiri Halima Mdee
 

Kuna jamaa mmoja karudishwa/deported kutoka Atlanta, GA USA mwaka jana. Ni mvuta bangi na mlevi sana sasa ni mmoj wa wagombea watia nia Kawe.!!!!
 


P,

Unagombea wapi?
 
P.
Nakusikitia mno kwa jinsi ulivyoipambania ccm hapa jf still poti hajakuona na kukupa japo udas! Au lile swali ulilomuuliza lilimuimiza Sana? Na au kitendo Cha spika kumuita alimpa majibu ya mahojiano yako?
[emoji23][emoji23][emoji23] kwann alimuuliza mh swali kama lile hawezi onja keki ya taifa kwa awamu hii
 
Anatuhadaa tu mwamba Mbowe anakipeleka chama mrama lakini hawatwangwi popote pale. Sembuse awe Rais. Hata kuhoji matumizi ya fedha za chama wanahofu.
Wahoji nini wakati report ya CAG ime certify hesabu ziko clear?
Na mfumo wa chama sio kama huo wa serikali T1.5 zinapigwa kwa amri ya MTU na mpwae huku mwenyekiti hasaini popote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…