Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Watia nia wa 2015 wengi walipata kuteuliwa kwenye nafasi mbalimbali.. ukurugenzi, ukuuwa wilaya...etc.. kwa hiyo wengine wanazengea uteuzi pindi wasipopita kwenye ubunge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisahau watia nia nao ni wapiga kura vile vile... hivyo hawawezi kuwazidi wapiga kura waliotia nia pamoja na wasiotia nia kwa idadiNaona idadi ya watia nia ni kubwa kuliko wapiga kura..kweli bunge la ndungai lilikua jepesi sana yaani mpaka machizi wanaona kua bungeni ni sawa na kua darasa la 3 mnajipigia makelele mtakavyo.
Nahisi kuna mamluki, yaani kuna wamepewa ya kwenda kuchukua form na baadhi ya wagombea ili ikifika wakati kura za kupitisha mgombea mamluki wanampigia kura mhusika aliyewalipia fedha za kuchukua form. Kwa hiyo kuna uwezekano kabisa baadhi ya wagombea katika kura za maoni wanaweza wasipate hata kura moja kwa sababu watakuwa wametumika kumjazia kura mtu aliyewalipia kuzaja form.Hilo Jimbo kupata mshindi ni ngumu wataoenda KUPIGA Kula za maoni ni hao hao 176 wana kawe CCM hatuendi watagawana kura moja moja hao
Anatuhadaa tu mwamba Mbowe anakipeleka chama mrama lakini hawatwangwi popote pale. Sembuse awe Rais. Hata kuhoji matumizi ya fedha za chama wanahofu.Huu ndio upuuzi huwa sitaki kabisa kusikia. Eti mtu anagombea ubunge kwa sababu ya kumkubali Rais? Uongo wa kijinga kabisa!
Rais ni kiongozi wa mhimili mwingine uitwao serikali, unagombea ubunge ambao upo ndani ya muhimili ambao kazi yake ni kuikemea serikali na kuisimamia itimize wajibu wake vizuri. Mahusiano ya kufanya mtu ahamasike kugombea yako wapi?
Au ni kutokujua wajibu wa mbunge ni nini? Nakumbuka niliwahi msikia Mbunge Sugu akisema hata Rais akitokea Chadema, tutamtwanga bungeni na pia katika vikao vya chama atatwangwa ili nchi ifuate sheria, katiba na kanuni zake. Huo ndio ubunge.
Sasa hizo takataka za eti "nagombea kuunga mkono juhudi" kama sio umbumbumbu ni nini?
Kawe yaweza ikawa ni mojawapo ya majimbo makubwa kwa hapo Dsm na pia ni jimbo wanapoishi 60% ya viongozi wa Serikali mashirika ya umma mabalozi nk ni jimbo nyeti zaidi na kuna uwezekano wa Gwajima kupitishwa kwa kuwa ni Msukuma na kama yupo Msukuma mwingine kwenye hao watia nia 175 basi huyo ndiye atakuwa kwenye top 3 zitazokwenda Dodoma kwenye mchujo wa fainaliWanabodi,
Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni mkazi wa Kawe, nimezaliwa Kawe, nimesoma primary Kawe, nimesoma sekondari Kawe, nimehudhuria JKT kambi ya Mlalakuwa, nimesoma Chuo cha uandishi wa habari IJMC pale Makumbusho, nimeajiriwa TVT pale Bamaga, nimeoa Kawe, naishi Kawe, na sasa nimestaafu rasmi na kurejea nyumbani Kawe, hivyo mimi ni Kawe na Kawe ni mimi!.
Pazia la kujaza fomu za ubunge na udiwani za CCM limefungwa rasmi leo saa 11:00 jioni, jimbo la Kawe, wamejitokeza wagombea 176!, ambapo wagombea 175 watakatwa na atabaki mmoja. Kuchuja wagombea 176 ili kumpata mmoja, it's not a joke, na akipatikana huyo mgombea mmoja, he/she must be the best of the best.
Swali ni Kawe kunani hadi jimbo liwe hot cake namna hii?. Watu 176 kugombea nafasi moja!, this is not normal, haijapata kutokea!, what is so special about Kawe hadi wapigane vikumbo hivyo?!.
My Take.
Vikao vya maamuzi vya CCM, vitakuwa na kazi kubwa ya ziada ya kuchuja wagombea 176 ili kumpata mgombea mmoja bora, kuliko wote, na akipatikana, he/she will be the best of the best!.
Nashauri wale wagombea wengine 175 watakao chinjjwa, sasa ndio wawe wajumbe wa Kamati ya kujitolea ya ukombozi wa jimbo la Kawe.
Ili kuirahisishia kazi vikao vya mchujo, majina ya wagombea yakiwekwa hadharani, tusaidie kuwafanyia vetting by elimination wale tunaowajua kuwa sio ili jimbo la Kawe lipate Mbunge bora zaidi ya aliyepo.
Kwa vile mimi ni mkazi wa Kawe, na wana Kawe sio wale watu wa type ya t-shirt na kofia, na shibe ya siku moja, vikao vya uteuzi vya CCM vikifanya tena makosa yale yale ya kututeulia wagombea wenye majina makubwa lakini hawana uwezo wa kujieleza na hawana mvuto, wana Kawe kama kawaida yao...
Naomba nisimalizie...
CCM Oye!
Paskali
Mimi sijawania awamu hiiIkute na wewe umechukua form. Au mnataka mjue nini kitatokea na yanayoendelea ?FBI
Kupiga meza ndiyo Ndiyo kukubali miswada ya hovyo kienyeji ndicho kimewavuta watia nia wengiNaona idadi ya watia nia ni kubwa kuliko wapiga kura..kweli bunge la ndungai lilikua jepesi sana yaani mpaka machizi wanaona kua bungeni ni sawa na kua darasa la 3 mnajipigia makelele mtakavyo.
Dr Mashinji atawafaa CCM kwa vile ana mbinu za kumkabiri Halima MdeeWanabodi,
Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni mkazi wa Kawe, nimezaliwa Kawe, nimesoma primary Kawe, nimesoma sekondari Kawe, nimehudhuria JKT kambi ya Mlalakuwa, nimesoma Chuo cha uandishi wa habari IJMC pale Makumbusho, nimeajiriwa TVT pale Bamaga, nimeoa Kawe, naishi Kawe, na sasa nimestaafu rasmi na kurejea nyumbani Kawe, hivyo mimi ni Kawe na Kawe ni mimi!.
Pazia la kujaza fomu za ubunge na udiwani za CCM limefungwa rasmi leo saa 11:00 jioni, jimbo la Kawe, wamejitokeza wagombea 176!, ambapo wagombea 175 watakatwa na atabaki mmoja. Kuchuja wagombea 176 ili kumpata mmoja, it's not a joke, na akipatikana huyo mgombea mmoja, he/she must be the best of the best.
Swali ni Kawe kunani hadi jimbo liwe hot cake namna hii?. Watu 176 kugombea nafasi moja!, this is not normal, haijapata kutokea!, what is so special about Kawe hadi wapigane vikumbo hivyo?!.
My Take.
Vikao vya maamuzi vya CCM, vitakuwa na kazi kubwa ya ziada ya kuchuja wagombea 176 ili kumpata mgombea mmoja bora, kuliko wote, na akipatikana, he/she will be the best of the best!.
Nashauri wale wagombea wengine 175 watakao chinjjwa, sasa ndio wawe wajumbe wa Kamati ya kujitolea ya ukombozi wa jimbo la Kawe.
Ili kuirahisishia kazi vikao vya mchujo, majina ya wagombea yakiwekwa hadharani, tusaidie kuwafanyia vetting by elimination wale tunaowajua kuwa sio ili jimbo la Kawe lipate Mbunge bora zaidi ya aliyepo.
Kwa vile mimi ni mkazi wa Kawe, na wana Kawe sio wale watu wa type ya t-shirt na kofia, na shibe ya siku moja, vikao vya uteuzi vya CCM vikifanya tena makosa yale yale ya kututeulia wagombea wenye majina makubwa lakini hawana uwezo wa kujieleza na hawana mvuto, wana Kawe kama kawaida yao...
Naomba nisimalizie...
CCM Oye!
Paskali
Wanabodi,

[emoji23][emoji23][emoji23] kwann alimuuliza mh swali kama lile hawezi onja keki ya taifa kwa awamu hiiP.
Nakusikitia mno kwa jinsi ulivyoipambania ccm hapa jf still poti hajakuona na kukupa japo udas! Au lile swali ulilomuuliza lilimuimiza Sana? Na au kitendo Cha spika kumuita alimpa majibu ya mahojiano yako?
Wahoji nini wakati report ya CAG ime certify hesabu ziko clear?Anatuhadaa tu mwamba Mbowe anakipeleka chama mrama lakini hawatwangwi popote pale. Sembuse awe Rais. Hata kuhoji matumizi ya fedha za chama wanahofu.
Gwajima anatosha.
Na ameshaanza kumwaga mpunga kama hana akili nzuri.
Hivi ukitumia hela za sadaka kuombea kura sio dhambi?
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app