Kayumba Nyamwasa: Rwanda imekuwa ikiiba madini ya Congo kwa muda mrefu sana

Mgogoro halisi hausemwi bali vinasemwa visingizio na vijisababu vidogovidogo tu na binafsi nimeelewa bila uhuru wa hiyo kivu vita haviishi
basi ujaelewa anaepigania uhuru nani??
kivu inawatu wangap??
Na ni kina nani wanataka uhuru??
Wanataka uhuru au wanataka madini??
 
DRC kwanini hawana jeshi imara licha ya kuwa na raia zaidi ya 100 million?
kama ccmu wanavyozuia watu kujihusisha na siasa kwa kuwateka na kuwaua pia Mobutu alifanya hv hali iliyopelekea watu kutojali lolote kuhusu nchi yao zaid ya wao kula na kulala basi , hivyo yeyote atakae mpa uhakika wa kula bas anamwabudu bila kujal ni rafik au adui wa nchi yao , hata kesho Rwanda akisema anakuja Tz atafanikiwa sababu uzalendo Tz umeisha miaka ming na muuaji wa Uzalendo ni ccmu kwa kuwatenga wananchi mambo yote ya kisiasa kwa kuwatisha kuua au kuteka iwapo utajiingiza kweny siasa kwa mlengo wa kizalendo
 
sasa unanukuu nn mtu anasema hajui vikos vyake havipo??
Yaan anajua vyoote kasoro Vikosi vya jeshi lake?
Kagame mimi namuelewa sana kwasababu najua history Rwanda na maziwa makuu.

Zaire ndio iliyoanza kuingilia mambo ya ndani ya Rwanda baada kutuma Majeshi yake kwenda kumchangia RPF sasa mnalialia nini?!
 
we ni gaidi
 
we ni shetani
 
we ni liuaji
 
si uende kwenu kigali mnakokunywa damu za watu! kwann unakuja kwetu, shetan ww
imagine jitu linatetea mtu alioua watu milion 6!
et PK mimi namuelewa!! unachomuelewa mwanaume mwenzio nn wewe?? au wanakukaza?
 
Kagame katika mahojiano na CNN kasema kuna Migodi ya Coltan Nchini Rwanda na kama mwandishi wa CNN yuko tayari waende akamuonyeshe sasa huyu Kayumba labda ana chuki binafsi na Kagame.

Kweni Coltan iko Congo pekee au Zahabu ziko Kongo pekee...?
R u serious kweli?
 
Wewe utakuwa ni Interahamwe Kagame alizuia mpango wenu wa kumaliza Watutsi, sijawahi kukutana na Mtu mwenye chuki hivi hapa JF.
 
Mimi au Kagame?!
KAgame wote tunajua kama anaishi kwa kuiba na kuua, ajabu wewe kuamini huo ujinga wake kama ana coltan rwanda, raisi ambae anasema hajui kama wanajeshi wake wapo congo huo si mwendawazimu
 
Kagame katika mahojiano na CNN kasema kuna Migodi ya Coltan Nchini Rwanda na kama mwandishi wa CNN yuko tayari waende akamuonyeshe sasa huyu Kayumba labda ana chuki binafsi na Kagame.

Kweni Coltan iko Congo pekee au Zahabu ziko Kongo pekee...?
Unaongelea juu juu mzee. Hiv unajua jamaa alikuwa mkuu wa ujasus na alikuwa mkuu wa majeshi.
 
KAgame wote tunajua kama anaishi kwa kuiba na kuua, ajabu wewe kuamini huo ujinga wake kama ana coltan rwanda, raisi ambae anasema hajui kama wanajeshi wake wapo congo huo si mwendawazimu
Kweni yeye kusema kuwa kuna Madini ya Columbite na Tantalite kwanini wewe unakataa? Je hayo Madini yako Kongo tu?!👈 naomba majibu tafadhali.

Upande wa Majeshi ya Rwanda kuwa Kongo Kagame anaogea kikubwa labda uwe mtoto ndio hutamuewa.
 
Wewe utakuwa ni Interahamwe Kagame alizuia mpango wenu wa kumaliza Watutsi, sijawahi kukutana na Mtu mwenye chuki hivi hapa JF.
chuki mnazizalisha nyinyi kwa roho zenu za kishetan! nenda huko kongo mnavochukiwa!!
Nyie n nusu shetan nusu mtu!! ni kama kukaribisha nyoka nyumbani ni suala la muda tu atakung’ata si kwa makusudi kwasababu kung’ata ni tabia yake
 
Unaongelea juu juu mzee. Hiv unajua jamaa alikuwa mkuu wa ujasus na alikuwa mkuu wa majeshi.
Kwanza lazima ujue kwanini kaikimbia Rwanda na kwenda kuishi uhamishoni.
 
chuki mnazizalisha nyinyi kwa roho zenu za kishetan!
Shetani ni yule alionzasha Genocide yaani Interahamwe halafu akakimbila DRC na sasa anafuatwa huko huko.

Waswahili tunasemaje akuanzae mmalize.
 
Kweni yeye kusema kuwa kuna Madini ya Columbite na Tantalite kwanini wewe unakataa? Je hayo Madini yako Kongo tu?!👈 naomba majibu tafadhali.

Upande wa Majeshi ya Rwanda kuwa Kongo Kagame anaogea kikubwa labda uwe mtoto ndio hutamuewa.
Yako Rwanda tangu lini dunia nzima inajua rwanda haina hayo madini!!
au unafikiri raman za madini hazipo!
Wewe n shetan usijifiche huku nenda naww kachinje watu kama huyo role model wako.
Maana ni wale wale tu tofaut yako hujapata nafasi tu ila ukipata ni wale wale
 
Kweni yeye kusema kuwa kuna Madini ya Columbite na Tantalite kwanini wewe unakataa? Je hayo Madini yako Kongo tu?!👈 naomba majibu tafadhali.

Upande wa Majeshi ya Rwanda kuwa Kongo Kagame anaogea kikubwa labda uwe mtoto ndio hutamuewa.
Madini ya coltan yanapatikana kwa wingi congo ,upande wa rwanda kuna coltan kidogo sana , anachofanya kagame ni kuiba coltan congo na kuexport akiuliza katoa wapi anadai rwanda ,wakati ukweli ni kwamba mgodi wake hautoi coltan kiasi kile ,na yeye kwa sasa ndio largest exporter wa coltan level moja na congo, anapeleka marekani ndio hao wanaompa kiburi kwa sababu anawauzia kwa bei ndogo , kagame ni shetani
 
Back
Top Bottom